Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

..Tuwasihi Mashekhe nao waupinge mkataba wa Dp.

..Wote tunatakiwa TUUNGANE dhidi ya mkataba mbovu usio na manufaa kwa nchi.
 
..Tuwasihi Mashekhe nao waupinge mkataba wa Dp.

..Wote tunatakiwa TUUNGANE dhidi ya mkataba mbovu usio na manufaa kwa nchi.
Ndugu yangu, ikiwa mitizamo yenu juu ya Waislamu mnawazungumzia kwa dharau, kebehi, ninyi kujiona bora zaidi na huku mnatangaza bado mnataka umoja wao. Hii hali inanisikitisha sana!
 
HIVI KWA NINI MNAKUWA NA HALI YA KUTOJIAMINI? MNAKUWA NA INFIRIORITY COMPLEX BILA SABABU. jE UNATAKA WAACHE MAMBO YA KUTOA MAWAIDHA YA DINI WAWE WANASHINDANA KWENYE MAMBO YA SIASA?

JE KUSUDIO LA KUKUTANA MARA TANO KWA SIKU LILIKUWA ILI KULETA MASHINDANO YA KIDINIAU NI KUTI MIZA MOJA YA NGOZO TANO KATIKA IMANI?
 
..mkataba ni mbaya.

..tuwahimize Maaskofu na Mashekhe waungane na kuupinga.

..serikali ingekuwa inatusikiliza wananchi suala hili lisingehitaji viongozi wa dini kuliingilia.

..Viongozi wa Dini watalazimika kujiingiza ktk siasa kama wanasiasa, haswa watawala, watathibitika kushindwa kutatua kero za wananchi.
 
Ndugu yangu, ikiwa mitizamo yenu juu ya Waislamu mnawazungumzia kwa dharau, kebehi, ninyi kujiona bora zaidi na huku mnatangaza bado mnataka umoja wao. Hii hali inanisikitisha sana!
Wakati yule Mwaipopo anasema mwislamu atakayehudhuria mkutano wa kina Dr Slaa atasomewa kunuti huoni kama hata viongozi wenu wanawadharau?
 
Hayo yote ni sahihi!

Lakini hekima ya mtu inaonekana wakati panapokuwa na matatizo.

Mnachohubiri ni cha kweli lakini bado mnaidhihaki jamii yangu. Kisa dini? Kwamba sisi ni waislamu?!

Mungu awabariki! Ngoja mimi nikaswali.
 
Ndugu yangu, ikiwa mitizamo yenu juu ya Waislamu mnawazungumzia kwa dharau, kebehi, ninyi kujiona bora zaidi na huku mnatangaza bado mnataka umoja wao. Hii hali inanisikitisha sana!

..kila upande una makosa.

..kuna Wakristo wanawasema vibaya Waislamu.

..kuna Waislamu wanawasema vibaya Wakristo.

..lakini wapo wenye busara na hekima ktk dini zote mbili.

..Sasa ni juu yetu kuchagua upande wenye busara, au upande uliokosa busara.

..tunakubaliana kwamba mkataba huu ni mbaya.

..Sasa kwanini tusiende hatua moja zaidi kuwasihi Mashekhe na Maaskofu waungane nasi kuupinga?

..serikali na Ccm hawajali tena maoni ya vyama vya siasa.

..Ni muhimu Maaskofu na Mashekhe wasimame pamoja kuikemea na kuiasa serikali.
 
masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.
Hawana elimu wamesoma Qur'an tu, kwani kusoma hiyo Qur'an siyo elimu? Wewe ukiamka unakula ngano ya Bakhresa, unakunywa maji ya Bakhresa, unaangalia timu yako ya utopolo kupitia Azam ambayo ni Bakhresa. Unajaza wese gari yako kupitia mafuta unayonunua kwa Oilcom, Lake Oil, Mount Meru nk. Unapikia mihogo yako kupitia gas za haohao, unafurahia Yanga kupitia uwekezaji wa GSM. Hao wote wamesoma hiyo Qur'an unayoona hauna maana. Sasa kati ya wewe uliosoma Lenzi mbinuko na Lenzi mbonyeo nani elimu yake ina impact? Infact, elimu zenu ziko kwenye ujinga tu na ufisadi.
 
Kwani shida vifungu vya mkataba au DPW au uwekezaji kwa ujumla wake?
 
Kwani kuna baya lipo kwenye huo waraka wa TEC
 
Hawa uliowaorodhesha hapa ni masheikh wa Bakwata au ni wafanyabiashara?

Hizi ni akili za wapi?
 
Hayo yote ni sahihi!

Lakini hekima ya mtu inaonekana wakati panapokuwa na matatizo.

Mnachohubiri ni cha kweli lakini bado mnaidhihaki jamii yangu. Kisa dini? Kwamba sisi ni waislamu?!

Mungu awabariki! Ngoja mimi nikaswali.

..hivyo ndivyo Ccm wanavyotaka.

..wanataka kuwe na mgawanyiko kati yetu Watanzania.

..wasipotumia Udini watatumia ukabila.

..mimi nakusihi uwapuuze watukanaji. wapuuze watukanaji wa dini zote.

..tusipoungana kuupinga huu mkataba hasara itakuwa ni kwetu sote. Haitaangalia huyu ni Muislamu, au huyu Mkristo.
 
Wamekosea wapi?
 
Hata wangekua wanaswali mara 60 kwa siku na wakasomewa waraka, je wanautashi kiasi gani cha kuelewa na je jazba na mihemko wanaweza idhibiti?
 
Kwani shida vifungu vya mkataba au DPW au uwekezaji kwa ujumla wake?

..Dpw siwaoni kama ni tatizo.

..Tatizo liko kwenye mkataba.

..Na mkataba una-determine uwekezaji.

..Dpw angekuja kama Ticts ya kina Nazir Karamagi sidhani kama kungekuwa na kelele kubwa.

..pia ingesaidia kama kungetangazwa tender ya wazi na tufanye kazi na kampuni itakayoshinda.
 
Kwani shida vifungu vya mkataba au DPW au uwekezaji kwa ujumla wake?
 
Usilolijua ni kwamba Kanisa Katoliki inaongoza Dunia kichinichini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…