Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

Waende tu wakatiki, lakini mioyoni mwao watakuwa wanajua fika kuwa wanachokifanya ni ubatili.

Ukweli uko wazi, mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo, labda awe ameshinikizwa.
Hakuna kushinikizwa ni ukweli na huruma dhidi ya uonevu wa wazi wazi kisa tu si wa dini yetu
 
Hamuiwezi hiyo vita kobaz wajinga nyie nchi nzima mpo 30% tu unadhani na wakristo wakiamua kuingia rasmi kuunga mkono NRNE nani anaumbuka acheni ujua wa udini nyie
Mbona mlikataa kuhesabiwa kidini kwenye sensa kama mpo wengi? Mnajijua hamfiki hata 25% ndio makanisa yakapinga kwa nguvu zote,

Hembu ingieni uwanjani kama ni wanaume kweli, ndio mtajua sisi WAISLAM Tunapenda kufa kuliko ninyi makafiri mnavyopenda kuishi
 
Kwenye account Yako benk unabilioni ngapi maana unawapigia chapuo wanamabilioni bank wewe unazo ngapi isijekua kapuku unapigika chapuo watu wazido kujilimbikizia mabilioni bank
 
Si wanasemaga wanatetea haki? Wewe sasa ndio umefaganua vizuri agenda ya udini safi sana

Kila mmoja atetee kwake
Kwanza kwenye dini me usinihusishe sipendi dini yeyote, naona ni ujinga tu na hizo dini zenu ila nimekushangaa unapotaka kutetewa na wanaume wenzio, what a shame?
Nasisitiza sipendi dini yeyote maana dini kwangu ni ujinga sihitaji kuwa nao!
 
Kwanza kwenye dini me usinihusishe sipendi dini yeyote, naona ni ujinga tu na hizo dini zenu ila nimekushangaa unapotaka kutetewa na wanaume wenzio, what a shame?
Nasisitiza sipendi dini yeyote maana dini kwangu ni ujinga sihitaji kuwa nao!
Na kweli we huna dini🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wataishia kuabibika na kuendelea kuididimiza hiyo dini yao

Mambo ni dhahiri shahiri kabisa utekaji uonevu haki hamna halafu mnapiga kampeni za kutiki

Mkiitwa wazee wa ubwabwa wa nazi kisinia msiwe mnalalamika na kuona mnadhalilishwa
 
No reform no election

Ole wake Mtanzania atakaye panga mstari kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…