Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

Wewe kuwa na akili, kama huna vya kuandika tulia

Humu watu wapo attention kutafuta kuukosoa uislamu, hata sehemu ya kusifia wanakosoa

Halafu wewe na upumbavu wako unawapa hoja ili watukane zaidi?

Hayo matakataka ya BAKWATA na UCHAWA usiyanasibishe na usheikh au uislamu
 
Wakifanya hivyo watastahili kufungiwa misikiti kwa juwa watakuwa wamechanganya dini na siasa.
 
Waislam wakipingana na serikar wanaitwa magaidi na jela wanaenda na uwezi sikia kiongozi yoyote wa kikristo akiwatetea
 
Hivi unataka waTanzania wakueleweje, mkuu wa 'Mahindi Mjini'?

Kwamba CCM ni chama kinachoungwa mkono na Masheikh na waumini wao wote?
Kwamba CCM ni chama cha DINI?

Na hao wanachama wenzenu wengine ambao siyo wa dini hiyo, wafanye nini; waondoke CCM?
 
Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote
Mkizubaa tu mjue mtakuwa watumwa na wanyonge katika inchi mliyoipigania wenyewe

MAKALA TUNDUIZI YA MATUKIO YA HIVI KARIBUNI

08 June 2025

DINI na SIASA: Dini inapoikosoa Serikali inatenda Kufuru:..Inapofanya hivyo itakutana na Mapigo?..​


View: https://m.youtube.com/watch?v=H18Nwm3t3agKiongozi wa dini anapopigia debe chama fulani au kugombea nafasi ya kisiasa, hapo anakwenda kinyume na misingi ya kutenganisha dini na siasa.

Lakini anaposema ukweli kuhusu udhalimu au ukosefu wa haki, bila upendeleo wa kisiasa, anakuwa ndani ya mipaka ya jukumu lake la kidini.

Mfano halisi ni Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini, ambaye alikemea vikali mfumo wa ubaguzi wa rangi (apartheid) akiwa ndani ya nafasi yake ya kidini.

Hatua yake ilisaidia kuleta mabadiliko bila yeye kuwa mwanasiasa au mwanachama wa chama chochote cha kisiasa.
Source : Jaizmela News
 
Pakishaharibika au kuharibiwa kama mfanyavyo unafikiri ni rahisi kupatengeneza tena?

Kwanini wakristo wote kwa umoja wenu na makanisa yote yamtukana na kumkashifu Rais Samia kwa kuwa tu ni muislam?
No, hili halikubaliki

Na ikibidi na iwe iwavyo na itakavyokuwa lazima hatua zichukuliwe kila upande
 
Udikteta wote ni aina moja, yaani unipangie kwa kuwa tu huvipendi?

Soma uelewe sikutaja taasi moja bali zote na ndio waungane dhidi ya adui
 

Ukiona manyoya,ujue kaliwa
Kifo ni kigo tu
 
Kuna wenzako wanasema eti wanabalance?
Mbona hamueleweki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…