Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Kwa nini wasizipe hizo silaha Ukraine dhidi ya Urusi? Au wakapige vinu vya North Korea
North korea na Urussi wametishia kuifuta Israel au wamehatarisha usalama wa US ..? Unauliza swali la kitoto sana. Huyu Russia sio kama hawa muwezi ila balance of power inaheshimiwa na kuharibu dunia kuna heshimiwa. Ila hakuna mtu wa kumzingua US
 
Yaani ukifuatilia vitisho vyao unaweza ukasema jamaa ni hatari
Unyonge dhambi saa zingine mtishe tu adui anaweza kuogopa 😂😂, nenda page ya Israel defence forces (idf) wanavyopost unaona wapo juu sana kiasi kwamba wanaweza kuisambaratisha irani kwa wiki.
 
CHATGPT
 
North korea na Urussi wametishia kuifuta Israel au wamehatarisha usalama wa US ..? Unauliza swali la kitoto sana. Huyu Russia sio kama hawa muwezi ila balance of power inaheshimiwa na kuharibu dunia kuna heshimiwa. Ila hakuna mtu wa kumzingua US
Tech mkuu nothing else
 
Kwa kifupi jibu ni:

Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments

Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
​
Hiyo china ina nn cha kumtishia US..? 🤣🤣🤣🤣 Hao china na russia huyu Iran si mshirika wao tujiulize kwanini hawaja ingia kumsaidia mwenzao na wamekaa kimyaaa wametisha tu kwa vikauli wenye dunia wameenda kufanya kazi yao. Tujipe tarakari why CHINA., RUSSIA & NORTH KOREA hawaja ingilia hapo ..?
 
Kwa kifupi jibu ni:

Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments

Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
​
Iran alizingua sana kupuuza mifumo ya ulinzi ya Russia na China.. angekuwa na mifumo kamili sasa hivi ingekuwa oya oya
 
Nani alikwambia Iran ni mshirika wa China, unaelewa hata maana ya neno ally?
 
Dunia ipi ambayo ilikuwa haijui kuhusu hizo B 2 bombers na hizo bunker busters?
 
Kuna muda embu tuweni serious basi. Iran intelijensi iko hovyo, viongozi wakuu wote wanauliwa. Sasa unategemea mtu huyu ashikilie pumbu mbele ya US au twaiona US ni kama TPDF?
Kílichonishangaza ni kwamba US alimpa taarifa Iran kuwa atapiga maeneo hayo matatu ya nuclear!
 
- Iran ina uhusiano na Russia na China, lakini si wa moja kwa moja kijeshi katika mzozo wa moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…