Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Kila siku huwa wanasema hivyo na vitisho vingine, so far wamefanya nn?Irani wamesema leo wanaenda kufanya kitu dunia haijawai kuona, kaeni mkao wa kulašView attachment 3378707
Kila siku huwa wanasema hivyo na vitisho vingine, so far wamefanya nn?Irani wamesema leo wanaenda kufanya kitu dunia haijawai kuona, kaeni mkao wa kulašView attachment 3378707
Ndio hapo sasa jamaa anajipa tabu na stress kuitetea China ilihali ni mandonga mtupu. Pelosi mwanzo walitishia akiingia tu ni vuta sasa mwana mama aliingiaTaiwan na hakuna kitu hawa Chinese wamefanya zaidi ya kupasha tu. USA hana muda wa kupasha akiamua ana kuja kweliTaiwan aliishia kubweka wakati Us anaingia na kutoka, aliishia kuizingira na kupiga tizi tuš¤£š¤£
Hawezi kwa sababu anafanya biashara na wote.Huyo china naimani hawezi kujihusisha na vita vya mtu mwingine maana anajua anatafutwa tu aingie kumi na nane wamshushe hiyo speed yake
AI š¤£š¤£š¤£š©š©Irani wamesema leo wanaenda kufanya kitu dunia haijawai kuona, kaeni mkao wa kulašView attachment 3378707
Na anajua america anaweza kata soko lake kila bara. America ni mbaya kwa kujua kumkata ngebe adui yakeHawezi kwa sababu anafanya biashara na wote.
Kwamba huyo author anazo hizo satellite imagery ila US hana?
Sema hii tension iliyopo ni kubwa ipo siku ngumi zitapigwa.Na anajua america anaweza kata soko lake kila bara. America ni mbaya kwa kujua kumkata ngebe adui yake
Tupe hizo picha sasa ikiwa haija guswa. Mimi sinaga wasi wasi na USA wapo very calculated kwenye mishe zao.
Tupo kwenye kikao kizito tukitoka huku iseeeWazee wa kobaz sijawaona leo!! Wako wapi?
Watoto wakipigana unawapa panga?Kwa nini wasizipe hizo silaha Ukraine dhidi ya Urusi? Au wakapige vinu vya North Korea
Upo sahihi ila pia kaa ukijua hakuna nchi yoyote tajiri itakayokuwa tayari kumpiga tajiri mwenzake moja kwa moja, ishu ya kujijenga kiuchumi n kipengele.Kwa kifupi jibu ni:
Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments
Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
China=Simba wa karatasiNdio hapo sasa jamaa anajipa tabu na stress kuitetea China ilihali ni mandonga mtupu. Pelosi mwanzo walitishia akiingia tu ni vuta sasa mwana mama aliingiaTaiwan na hakuna kitu hawa Chinese wamefanya zaidi ya kupasha tu. USA hana muda wa kupasha akiamua ana kuja kweli
Tupe hizo picha sasa ikiwa haija guswa. Mimi sinaga wasi wasi na USA wapo very calculated kwenye mishe zao.
Kipindu flani walimua osama mkasema haja uliwa hakuna picha wala nini na nini. Wao wakakaa kimya tu maana kazi imesha isha
Hahah Chinese ni waoga kama jina lao lilivyo chinise kitu soft softChina=Simba wa karatasi
Umeandika vema sana, hata hivyo ungetangulia kutengua maneno yako kwanza ya...Marekani hana ubavu wa kuishambulia IranKwa kifupi jibu ni:
Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments
Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
Kwa kifupi jibu ni:[/QUOT
Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments
Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipoKwa nini wasimpe mshirika wao IranKwa kifupi jibu ni:
Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments
Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
Nilichogundua hapa, israeli alitangulizwa kulemeza uwezo wa kujeshi.ili wakato USA anafanya yake asipate upinzani wala madharaWakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.
Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
View attachment 3378693
View attachment 3378694