mnyaazi atalipa walakhi tena hawa makafiri we waache tuHao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
mnyaazi atalipa walakhi tena hawa makafiri we waache tuHao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
uchaguzi wa nini wakati samia ni raisi mpaka anaingia kaburini? samia ashasema Tz ina uchumi mkubwa na unaofanya vizuri kuliko wa marekani kwa hiyo shaka ondoa Tz hakujawahi kuwa na shida ya hela toka siku samia anakuwa raisi.Msifurahie vita ndugu zangu vita itatikisika uchumi wa dunia na kusababisha mama asitimize ahadi zake kiumakini
Mfano hata uchaguzi unaweza usifanyike juu ya kukosa hela vizuri
maneno ya kwenye khanga tu hayo Irani kubwa jinga lishazoe kubwekaIrani wamesema leo wanaenda kufanya kitu dunia haijawai kuona, kaeni mkao wa kula😁View attachment 3378707
si unajua aliyeliwa kiboga anasema walijaribu ila kwa mbinde yaani kwa mbiinde yaani kwa mbindee sanaaaaa
Imetoka marekani direct hadi iran dadeki imemwaga imegeukaDah! Kwamba hilo dege and similar ones hazilali nje ya Marekani. Ni kuchapa na kurudi kupumzika hizo ni vidume hasa. Mwanaume shupavu kulala nje ya nyumbani kwake mwiko.
Lwetanyahu, Trump na Khamenei wote ni makafiri.Ndugu zenu Iran?
Kwamba waajemi ni bdugu zao na waafrika au sijaelewa? Hawana hata undugu na waarabu achilia mbali wabantu. Au tuseme ndugu katika imani?
Sisi wengine sio wa imani hiyo ila hatufurahii anachofanya mmarekani na muisrarli kwa taifa la waajemi.
Dude halilali nje hilo. Very focused, highly precise, very effective!Imetoka marekani direct hadi iran dadeki imemwaga imegeuka
Makafiri tuliwaambieni hapa kuwa Israel anakaanga Mbuyu kumkaangia mwenye MENO atafune ikawa munatubeze, Kiko wapi? Israel bila Marekani hatoboi kwa Iran.Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.
Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
View attachment 3378693
View attachment 3378694
Hapana hajasema hadi anaingia kaburini ni kaomba mi 🖐️tena basi Cha msingi tuwaombe Israel na Iran kupitia balozi zao waache mara Moja mapiganouchaguzi wa nini wakati samia ni raisi mpaka anaingia kaburini? samia ashasema Tz ina uchumi mkubwa na unaofanya vizuri kuliko wa marekani kwa hiyo shaka ondoa Tz hakujawahi kuwa na shida ya hela toka siku samia anakuwa raisi.
Awon Oloribuku gbo gbo..Son of looser.Kwa kifupi jibu ni:
Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments
Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
Chawa wa mama washasema samia ni rais wa Tz mpaka anaingia kuzimuHapana hajasema hadi anaingia kaburini ni kaomba mi 🖐️tena basi Cha msingi tuwaombe Israel na Iran kupitia balozi zao waache mara Moja mapigano
Nguvu za kijeshi mbele ya Israel na US hawana sasa hata kuongea napo washindwe jamani? waonee huruma makobaaz mabushaMi nashindwa kuwaelewa Iran, nchi imeshaingia vitani wao kila siku matamko ya vitisho na kuwa laghai raia wao kuandamana.
Huu ni muda wa kupigana haswa, hizi habari za wataona, we ngoja tu hazisaidii muda huu.
Au kwao maana vita ni tofauti na ilivyo sasa?
Wanamchonganisha kwa maslahi YaoChawa wa mama washasema samia ni rais wa Tz mpaka anaingia kuzimu
Iran ilikuwa overrated sana.Inazidiwa hata na iliyokuwa ya Chief Mkwawa Mkwavinyika
North Korea akili kubwa. Ushawahi sikia anafadhili vikundi vya ******* senge ili kupigana na mataifa mengine?. Ana huo muda wa kipumbavu ndiyo maana unaona katulia na kwa style yake ya maisha atakaa mda mrefu sana bila vita nchini kwake
Kwa nini wasizipe hizo silaha Ukraine dhidi ya Urusi? Au wakapige vinu vya North Korea
Walianza kumtafuta Urusi tangu enzi za Cold War na wameshindwaUrusi anatafutiwa nafasi baada ya Iran.
Kumbuka katika mahojiano ya Trump kabla ya vita kuanza, alisema Iran inatakiwa ikubali makubaliano ili kuzuia vita isitokee, hivyo hivyo alishawahi kusema, Urusi anatakiwa asitishe vita lasivyo kuna kitu kitatokea.
Kwa mazingira haya, inawezekana hiyo kushusha kombora Iran ni ujumbe tosha kwa Urusi ijiandae.
Ndio maana ata Urusi anasita kuisaidia Iran zaidi ya kulaani kwa maneno.
Kwa sasa amepatikana hapo Ukraine, na wameshamsoma uwezo wake; ndio maana ana kaa mbali na vita ya Iran.Walianza kumtafuta Urusi tangu enzi za Cold War na wameshindwa