AI 🤣🤣🤣💩💩
AI 🤣🤣🤣💩💩
Vita ndio mchakato wenyewe sasa
B 2 Isha wanyamazisha over
Kwa msaada wa watu wa Marekani 😅😅B 2 Isha wanyamazisha over
Sawa na nyie na msaada wa china na urussi vipi mbona imepasuliwaKwa msaada wa watu wa Marekani 😅😅
Russia na China maneno tu ... Labda kama watamsaidia kwa chini chiniSawa na nyie na msaada wa china na urussi vipi mbona imepasuliwa
Akuanza na mikeke Kama Iran alipeleka mkakati wake kwa akili kubwa.North Korea alichowin ni kutest mitambo kabla Marekani na mashoga zake kuanza maneno mengi kama walivyofanya kwa Iran.
Walipoona mzigo anao ikabidi tu wawe wapole. Nchi nyingine zinazotaka kumiliki nukes they need to learn from the wisdom of North Korea
Hakumbuki hata Rais wa Ukraine aliitwa aje apewe msaada akaleta uselaHoja ya kitoto hii... Ww unajua garama za bomu 1? Ndege 1 tu kwenda kufumua icho kinu?
China au Russia wana matoleo ya ndege kupita hilo au kulingana nalo weka hapa!Kwa kifupi jibu ni:
Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments
Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
Unaishije bila vpn! Watanzania sikuhizi tunawindana kwa nyavu, jilinde mkuu.Vitu vya twitter hazifunguki sina VPN hapa
Wakimalizana na Iran anayefuata ni China au Urusi wa mwisho North KoreaKwa sasa amepatikana hapo Ukraine, na wameshamsoma uwezo wake; ndio maana ana kaa mbali na vita ya Iran.
Urusi pale Ukraine pamemshindaChina au Russia wana matoleo ya ndege kupita hilo au kulingana nalo weka hapa!
Kweli mkuu acha ni install na niwashe wakiangalia waone nipo GermanyUnaishije bila vpn! Watanzania sikuhizi tunawindana kwa nyavu, jilinde mkuu.
Wanafanya hadi refuelling huko huko angani..ogop kupigana na mtu mwenye sheli huko angaiDah! Kwamba hilo dege and similar ones hazilali nje ya Marekani. Ni kuchapa na kurudi kupumzika hizo ni vidume hasa. Mwanaume shupavu kulala nje ya nyumbani kwake mwiko.
Duh! Sijui refueling inafanyikaje yakiwa speed hivyo? Anayejazwa yuko supersonic speed na anayejaza hivyo hivyo - sielewi.Wanafanya hadi refuelling huko huko angani..ogop kupigana na mtu mwenye sheli huko angai
Mimi sina undugu na mashia.View attachment 3378816
Wacha kumkana ndugu yako katika imani mkuu, tena yeye ni taifa la kiislam wakati huo taifa lako halina dini. Ukisema waajemi ni makafiri manake wewe mbantu ni kafiri zaidi.
Japo sipo huko kwenye nani ni kafiri na nani sio...
Tumewazoea kwa mipasho just do it tuoneIrani wamesema leo wanaenda kufanya kitu dunia haijawai kuona, kaeni mkao wa kula😁View attachment 3378707
Wangekuwa na ubavu wasingesubiri, wangeanza nae vita ya Ukraine...mbona hawajajaribu!Wakimalizana na Iran anayefuata ni China au Urusi wa mwisho North Korea
Duh!Urusi anatafutiwa nafasi baada ya Iran.
Kumbuka katika mahojiano ya Trump kabla ya vita kuanza, alisema Iran inatakiwa ikubali makubaliano ili kuzuia vita isitokee, hivyo hivyo alishawahi kusema, Urusi anatakiwa asitishe vita lasivyo kuna kitu kitatokea.
Kwa mazingira haya, inawezekana hiyo kushusha kombora Iran ni ujumbe tosha kwa Urusi ijiandae.
Ndio maana ata Urusi anasita kuisaidia Iran zaidi ya kulaani kwa maneno.
Kabisa...hapo ndo wametupiga hawa watu weupe..research zao wanazofanya kweny science zina manufaa kwa nchi zao kiuchumi..tofaut na sie ngumbaru ambao hata helicopter ikipita tunaishangaa...Duh! Sijui refueling inafanyikaje yakiwa speed hivyo? Anayejazwa yuko supersonic speed na anayejaza hivyo hivyo - sielewi.
Nikiwa ndani ya Bwana Swala navoliogopa anga kumbe kuna watu wanalichezea kama wako sebuleni kwao!