Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Wakimalizana na Iran anayefuata ni China au Urusi wa mwisho North Korea
Kwa kauli ya bwana mkubwa ya kumtaka asitishe vita, kuna uwezekana baada ya Iran akafuata.
Hatujui kilichoongelewa huko G7, na tarehe 24-25 NATO wanakutana, mbaya zaidi China na Urusi si wanachama, ni kama kikundi kilichotengwa, itabidi watafute unafuu huku Afrika.​
 
Mimi sina undugu na mashia.
Kama huamini kuwa mashia ni makafiri nakupa homework halafu ulete majibu.
Sisi ahlussunna kutokana na hadithi aliyopokea imamu Muslim kutoka kwa swahaba Umar رضي الله عنه ni kwamba uislamu una nguzo tano na imani ina nguzo sita.
Sasa ukikutana na shia yeyote hata Hawa wa hapa TZ muulize kuhusu nguzo za uislamu na nguzo za imani usikie majibu itakayopewa.
Irani ni nchi ya kishia na ushia ni ukafiri 100%.
Ukafiri wa mashia hauna uhusiano na uajemi.
Nchi hiyo imewahi kuwa ya wanassunna kwa muda mrefu na imetoa wanachuoni wengi wa ahlussunna ikiwa pamoja na Al Imamu Al Tirmidhiy isipokuwa baadae wanassunna walidhoofika kidogokidogo hadi kupinduliwa na makafiri wa kishia kama walivyopindua Iraki na Yemen miaka ya karibuni.
Mimi na binafsi Al khamenei akiuawa na serikali kupinduliwa nitasujudu kumshukuru Allaah Azza wa jalla kwa kuuondoa ushia katika nchi ya Irani.
Wakina Covax kimsboy Ritz FaizaFoxy hawawezi kukuelewa
 
Kwa kifupi jibu ni:

Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments

Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
​
Marekani anajua pa kuchezea ili ajizolee ujiko. Hiko kibakuli kikisogelea anga la Urusi tu inabaki story😂
 
Wakina Covax kimsboy Ritz FaizaFoxy hawawezi kukuelewa
Chifu mkuu huwezi kumchukia shia halafu ukapenda apinduliwe na Zionist huo sio uislamu ni ukafir pia.

1.Labda angetueleza sie ambao ni waislamu ambao tunasali msikiti wowote bila kujali ni shia, Sunni au Ahmadiya, Quran inazungumza vipi juu ya shia na Suni, Kuna mahala katika Quran inazungumza kwamba watakaofuata mafundisho ya Qurain na Sunna za Mtume waitwe Suni ?.aachane na hadithi aweke Aya katika Quran.

2.Je ndani ya hizo nguzo Tano za uislamu shia ni nguzo ipi haiwafati?.

3.Je shia ni waislamu au sio waislamu na kama sio waislamu wanatumia kitabu gani katika mafundisho yao?.

4.Kinachowaudhi wanaojiita Suni juu ya shia nikuwa, Shia wana elimu kubwa ya kidunia kuliko hao wanaojiita Suni na hao Suni huko ME ndio vibaraka wa USA na Israel.
 
Ndugu zenu Iran?
Kwamba waajemi ni ndugu zao na waafrika au sijaelewa? Hawana hata undugu na waarabu achilia mbali wabantu. Au tuseme ndugu katika imani?
Sisi wengine sio wa imani hiyo ila hatufurahii anachofanya mmarekani na muisraeli kwa taifa la waajemi.

Nyie makafir hamjui kitu. Mtaenda motoni. Sisi tunawaombea ndugu zetu na watafanikiwa inshallah. Nyie mtabaki na ukafiri wenu tu
 
Hao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
1000465824.jpg
 
Hiyo china ina nn cha kumtishia US..? 🤣🤣🤣🤣 Hao china na russia huyu Iran si mshirika wao tujiulize kwanini hawaja ingia kumsaidia mwenzao na wamekaa kimyaaa wametisha tu kwa vikauli wenye dunia wameenda kufanya kazi yao. Tujipe tarakari why CHINA., RUSSIA & NORTH KOREA hawaja ingilia hapo ..?
Inategemeana na mikataba ya ulinzi , jiulize kwanini NATO aingilii moja kwa moja vita vya Ukraine?
 
Chifu mkuu huwezi kumchukia shia halafu ukapenda apinduliwe na Zionist huo sio uislamu ni ukafir pia.

1.Labda angetueleza sie ambao ni waislamu ambao tunasali msikiti wowote bila kujali ni shia, Sunni au Ahmadiya, Quran inazungumza vipi juu ya shia na Suni, Kuna mahala katika Quran inazungumza kwamba watakaofuata mafundisho ya Qurain na Sunna za Mtume waitwe Suni ?.aachane na hadithi aweke Aya katika Quran.

2.Je ndani ya hizo nguzo Tano za uislamu shia ni nguzo ipi haiwafati?.

3.Je shia ni waislamu au sio waislamu na kama sio waislamu wanatumia kitabu gani katika mafundisho yao?.

4.Kinachowaudhi wanaojiita Suni juu ya shia nikuwa, Shia wana elimu kubwa ya kidunia kuliko hao wanaojiita Suni na hao Suni huko ME ndio vibaraka wa USA na Israel.
Kwa nini viongozi wa Shia wa Iran ni radical sana kuliko wa Sunni??
 
Hao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
Allah alitajwa sana October 7 hata walipokuwa wanabaka wakimaliza wanasema Allahu Akbar
 
Back
Top Bottom