ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Lwetanyahu, Trump na Khamenei wote ni makafiri.
Hii vita waislamu haituhusu.
Ni mgogoro wa kisiasa kati ya nchi tatu za kikafiri kama ilivyokuwa mgogoro wa Urusi na Ukraine kwamba ni mgogoro wa kisiasa kati ya nchi mbili za kikafiri.
Israeli na Marekani wanapigana na ukafiri mwenzao wa Irani.
Sisi waislamu hii vita haituhusu.
Nasikia Pakistani ambao ni waislamu wenzetu wana mpango wa kumsaidia muirani.
Wakifanya hivyo watakuwa wanamsaidia kwa maslahi ya kisiasa na haitamaanisha kuwa mashia wa Irani wamesilimu.
Wacha kumkana ndugu yako katika imani mkuu, tena yeye ni taifa la kiislam wakati huo taifa lako halina dini. Ukisema waajemi ni makafiri manake wewe mbantu ni kafiri zaidi.
Japo sipo huko kwenye nani ni kafiri na nani sio...