Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Maskini na matajiri wote nyumba yetu ni moja nayo nikaburi kuna haja gani yakupamba dunia ambayo hakuna atakaye iishi milele
Ndio mleta uchafu wenu mijini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini na matajiri wote nyumba yetu ni moja nayo nikaburi kuna haja gani yakupamba dunia ambayo hakuna atakaye iishi milele
Kama nimekuelewa Hivi Mkuu
Umeandika fact ila Kwa sababu ya masikini hua hatukubali ukweli mchungu na tuna roho mbaya
Ngoja nikoment kimasikini Zaidi hapo chini
Acha kujiona bwege wewe u anajiona una akili Sana mtoa mada ulitaka tuishi wapi na tulishawahi kuja kukuomba Hela ya kula?
(In Masikini wa akili voices)
Na wale wanao jenga vijumba vya gorofa 1 mjini kati nao ni wale wale tu
Uzuri wote tunaweza kuwa matajiri pia wote tunaweza kuwa maskini je wewe utakuwa upande upi tusubiri
Shetani mwenyewe pumbavu ww
Kama hapa nilipo, masikini walipewa eka moja kila mmoja na Nyerere wakati wa operesheni vijiji vya ujamaa, takataka masikini wamekata vipande vipande na kuuza.
Nakubaliana na wewe by 100%. Masikini pia wasiruhusiwe kuzaa, wahasiwe maana tutaendeleza ile kitu wanaita viscious cycle ie masikini kuzaa masikini na huyo masikini kuzaa masikini mpaka kijiji kinajaa masikini tupu. I am also poor, let us be pushed outside the town and live wherever befits us , not in civilised societies
Mungu akiwa upande wako huwa tunajawa viburi, majivuno na kejeli za kila aini. Amini amini nakwambia Mungu akigeuza shingo na asikutazame tena, huwa nimajuto yasio na ukomo.
Hekima, busara na utu ndio Jambo jema kuliko pesa.
nnawapa live na wamelipokea kwa wema kuwa walikuwa wajingaUkipigwa usilalamike sasa, maana umewasha moto
Mtaongea yote ila ukweli Utabaki pale pale sisi masikini maeneo yetu ndio changanyikeni Nyumba hazina parking. Ukipita unatokea chooni kwa watu.Kuna kitu kinaitwa mixed economy, masikini na matajiri wanategemeana. Capitalists waliliona hili, huwa wanajenga apartments katikati ya mji na kuweka flats chache wanaziita affordable flats kwa wasio na uwezo.
Tajiri anatengeneza biashara na masikini anategemea ajira katika biashara hizo..
nnawapa live na wamelipokea kwa wema kuwa walikuwa wajinga
Serikali ipi? Hii ya NSSF ya kujenga nyumba za vyumba viwili kwa 25M na kutaka kuwauzia masikini kwa 45M?Umeongea ukweli kabisa..majiji yote tanzania serikali ichukue ardhi..kisha ijenge magorofa katika mpango mzuri wa mji..na kuyapangisha..yeyote atakaye taka kuja mjini haruhusiwi kujenga bali kuja kupanga..hapa serikali itapata pesa maisha yake yote.
#MaendeleoHayanaChama
Maskin wa akili au maskin wa fedhaKusema ukweli ndio kukosa akili.
Shida ya Masikini hayapendi kuambiwa ukweli. Na nikawaida ya Shetani kuukataa ukweli.
Kama kuna masikini, basi ni hiyo serikali unayotaka iwahamishe wananchi, tena masikini wa fikra.Habari Wakuu!
Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe.
Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau na kuwatolea maneno makali hao Masikini. Lakini nataka kusema hapa mimi mwenyewe ni masikini, hivi mambo niyasemayo hapa yananihusu hata Mimi.
Sisi masikini ni mashetani tunaoishi live katika macho ya nyama.
Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.
Kama ingekuwa amri yangu, masikini leo hii wasingepewa ruhusa/kibali kujenga kwenye miji na majiji makubwa. Wakaishi huko porini huko kwenye mashamba wakalime.
Serikali kama inataka miji ijengwe kwa mpangilio mzuri basi lazima litolewe tamko kuwa Masikini hawatapewa kibali cha kujenga mijini, na mtu yeyote anayetaka kujenga nyumba mjini anapaswa awe na kiasi cha pesa kisichopungua milioni 50.
Masikini wawekewe sheria kali zitakazowabana ili wasilete ushetani wao Duniani.
Kama wanataka kuishi mjini basi serikali ijenge nyumba za kupanga, au mashirika na makampuni ndio yafanye kazi hiyo kujenga Apartments ili hao masikini wapange.
Matajiri sina neno nao, nafahamu wao wanamuwakilisha Mungu kwani Mungu ni tajiri, ndio maana matajiri hujenga na kuweka mambo/vitu vyao katika mpangilio mzuri.
Miji yote iliyotekwa na masikini lazima iwe michafu inayonuka, vijumba vimejengwa hovyo hovyo Kama takataka.
Masikini wajengewe miji Yao huko nje kabisa ya miji au maporini huko wakae wenyewe, au Kama wanataka kuishi mjini basi wapangishe nyumba zilizojengwa na serikali au matajiri.
Sitaki kuzungumzua habari ya machinga jinsi wanavyovuruga miji na kusababisha uchafu wakaapo barabarani.
Niishie hapa Masikini wenzangu wasije nipiga mawe, najua wataniona lakini ukweli nimewapa, wengine watanichukia lakini hilo halinipi shida kwani mashetani ni kawaida Yao kuwa na chuki.
Mashetani yakikupenda jua ni Kwa unafiki na yanakitu yanakihitaji kutoka kwako.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dodoma
Uchafu kwako ni niniNdio mleta uchafu wenu mijini?