Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Profesa Assad ni ndugu katika imaani na anatokea Zanzibar.Alitimuliwa huyu profesa kiazi na Magufuri
watu tukamuonea huruma na IST yake
Ila HAKIKA Magufuri alikuwa na kitu cha ziada mno
basi hatukumuelewa!
Magufuri alikuwa ameishaona humu hakuna cha uprofesa bali ni njaa na ubwege
Wote aliowatosa akina Lugola, Makanba, Nape na wengine
hapo awali tulihisi anawaonea
Kumbe hawafai hata kuwa Balozi nyumba 10/10
Huyu Assad kwanza anatokea wapi
sio Zanzibar kweli?
coz it’s like wote wametuzoea mno
Kuna kitu inabidi tu kifanywe
kwani huo mkataba wa muungano wenyewe ni halali ?+Tumia akili zaidi kufikiri. Kuna mabo ya Muungano na yasiyo ya Muungano. Bandari ni la Mungano. Ina maana zanzibar haitaki Bandari bora.
Miradi inayofanywa Tanganyika ni ya watanganyika na si ya muungano. kama una akili zisizo za udini utakubaliana na mimi!
Tumia akili kufikiri na si udini.
Nadhani hujanielewa mkuu. Your opportunities may not be my opportunities. Wewe unaweza kuwa na viwanja viwili mapinga Bagamoyo na postal, na vyote unatafuta muwekezaji aviendeleze. Investors wanaweza kuvutiwa zaidi na kiwanja cha postal kuliko mapinga kutokana na manufaa ya kiuwekezaji atakayoyaona, japo wewe unataka I mapinga pia pendelezwe. Simply hivyo.
Hivi hata wewe kwa akili ya kawaida tu kama mfanyabiashara, utashusha mega ships Zanzibar halafu walaji wako DRC? Seriously? Ili upate nini?
Kabisa tumbo linaongoza Kichwa!!Profesa Njaa huyo
achana naye
Sasa ni hivi kwa mujibu wa Makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar mh Hemed anasema wamekubaliana masula ya Bandari kila upande usimamie Bandari zake ndio maana zanzibar wana ZPC yaani Zanzibar port coparation na huko bara wana TPA Tanzania port Athority wapi wamekutana wameyaondoa vipi hayo masula ya Bandari hayo hajasemaHebu kwanza: Hivi hili swala la kuiondoa bandari ya Zanzibar kutokuwemo kwenye maswala ya Muungano, lilijadiliwa na kupitishwa Bungeni?
Au ni ule utaratibu tu wa kushughulikia "kero za muungano' ndio uliotumika?
Mwenye kujua hili tafadhali alieleze hapa vizuri nasi tuelewe utaratibu uliofuatwa hadi bandari ya Zanzibar likawa siyo swala la muungano.
Kuna mambo mengi yamefanyika kienyeji enyeji tu, huko Zanzibar wanajiamlia kufanya mambo ambayo hawana mamlaka nayo.
Bandari za zanzibar umuhimu zinao ndio maana kampuni ya kifaransa ya African Logistic Company yenye makao yake south African imewekeza kwenye hiyo Bandari kwa Mkataba wa miaka 5Kama mizigo inayoshushwa bandari ya Zanzibar haina kwa kwenda kuna umuhimu gani wa kuwepo hiyo bandari ya Zanzibar? Fikiri kwa kutumia kichwa cha juu!
Mtu akija na maoni tofauti na ya kwako tayari keshakengeuka. Wengine hatuangalii sura tunaangalia mantiki ya anachokisema kama inalifaa taifa.Hapana, mkuu 'Stevie', kwetu wengine Tanzania ni kubwa zaidi ya mambo mengine yoyote. Kama Profesa sasa hivi anakengeuka kwa sababu azijuazo mwenyewe, kamwe hatuwezi kuacha kumsema kwa kuwa tulimwonea huruma wakati ule.
Kwani IGA nyingine zipo kwa sababu zipi haswa?. Ni mkataba kama mingi tu inayopitishwa bungeni na umefuata taratibu zile zile za siku zote.Achana na ujinga huu wa kudhani watu hawaelewi kinachofanyika hapa.
IGA kwa nini iwe na masharti haya kwa Tanzania kama siyo kuandaa mazingira ya ukandamizaji kwenye hiyo HGAs?
Hii IGA ipo kwa sababu zipi hasa, hili ndilo mnalotakiwa kuwaeleza watu walitambue.
Wenye kujua tunanufaika vipi ndio wanapambana na hawa mawakala wa mafisadi tulionao humu jukwaani kwa wingi ili wawaelimishe raia wengine wengi waliopo huko mitaani.Bro DpW hana shida na bandari yetu sis ndio wenye shida na DpW
Not related, utajiju!kwani huo mkataba wa muungano wenyewe ni halali ?+
Zimetajwa wapi hizo bandariKwa nini sasa wanekwenda mpaka bandari za Mwanza, Nyasa, n.k?
Wewe ndiye unatakiwa ufikiri kwa kutumia kichwa. Sasa mizigo ya Congo au Zambia utaishushia Zanzibar? Au Shaba ya Zambia kwenda nje ya nchi utaenda kuipakia kupitia Bandari ya Zanzibar?Kama mizigo inayoshushwa bandari ya Zanzibar haina kwa kwenda kuna umuhimu gani wa kuwepo hiyo bandari ya Zanzibar? Fikiri kwa kutumia kichwa cha juu!
ThibitishaUislam na njaa vinamsumbua sana huyu prof uchwara
Hiyo inajulikama Dunia nzima kama ulikuwa hujui ndio uje sasa ndivyo mlivyo😏Thibitisha
Hongera sana mzee wangu!
Breaking News:
Mahakama Mbeya yatupilia mbali kesi ya Bandari walalamikaji kukata rufaa
Humphery Mgonja
BBC Field Producer
View attachment 2713456
BBCCopyright: BBC
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na walalamikaji wanne ambao walidai mkataba huo unaenda kinyume na matakwa ya Katiba.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Dastan Ndunguru amesema baada ya jopo la majaji wa tatu kusikiliza pande zote mbili mahakama imeamua kuwa hoja zote sita hazina mashiko hivyo kuamua kuwa Mkataba wa IGA hauna dosari za kufanya usitekelezwe.