Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

Umejibu kwa kuzingatia tumbo.Ndiyo maana nchiza kiafrika Zina Kila rasilimali lakini watu wake Wengi ni masikini wa kutupwa kwa sababu ya ubinafsi wa tumbo
 
Kwanza umesema hoja mbili halafu naona kwenye maswali zimekuwa tatu.

1) Wapi kwenye IGA paliposema "Bandari za Zanzibar hazipo"?

Binafasi sijaona kifungu hicho, tafadhali kinukuu hapa.

2) Hilo la pili vile vile umeleta uongo wako, hakuna pahala Assad alipotaja jina wala kuyasema hayo unayodanganya watu hapa.

3) Nini ambacho aliulizwa hajakijibu? Kwani ulisikia Assad kasimama pale kuwa yeye anahoja au aliulizwa maswali na akawa anajibu anachoulizwa tu?

Wewe unaonesha ni mtu muongo wa kutupwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Acha kutembelea nyota ya member mwenzako, jitegemee. Yaani mwekezaji asilazimishwe kwa jambo la maslahi la taifa? Kwa hiyo asilazimishwe kuajiri baadhi ya wafanyakazi wazawa kwa kazi wanazoziweza, hata akiamua kuja na vibarua waarabu iwe sawa tu?
Kwahiyo wewe unaweza kumlazimisha muwekezaji akwekeze sehemu ambayo haina maslahi kwake ila ina maslahi kwako???

Kumtaja Faizafoxy siyo nimetembelea nyota yake bali ndio muasisi wa huo msemo hivyo nimempa credit zake.
 
Hili la DPW limekwisha chacha hata liungwe namna gani halitakuwa na ladha ya kuvutia. Mhe. Rais amekwishashauriwa na Wasomi, Wazee wenye busara kama mzee Butiku na Mzee Kinana na Katibu Mkuu wa CCM wameshauri kuwa kama kuna kasoro zirekebishwe ili tusonge mbele. Sauti ya wengi ni sauti inayotoka kwa Mungu. Hata hukumu ikitoka kuwa Serikali imeshinda, hili suala bado mbichi sana.
 
Kwahiyo wewe unaweza kumlazimisha muwekezaji akwekeze sehemu ambayo haina maslahi kwake ila ina maslahi kwako???
Ndio, asipotaka atakuja mwingine, na wala sio lazima muwekezaji aje, mahitaji yake ya hela ndio yanamleta. Kwani ardhi inaoza?
 
Amejivunjia tu heshima yake kwa maslahi ya kulinda wa dini yake. Kumbe hana mana huyu Mzee. Tumemdharau kwa kweli..
 
Dan Zwangendaba tafadhali ikiliza clip hii halafu unipe maoni yako
 
Wa DINI yetu!! hakosei wala hali rushwa
 
Ngoja na mimi nisubiri majibu yake
 
Wamekubaliana wapi na lini na kwa utaratibu upi. Katiba iko wazi kwenye namna ya kuondoa mambo ya muungano. Ni jambo linalofanyika bungeni kwa kura theluthi mbili kutoka Zanzibar na Tanganyika kukubali. Sasa hilo limefanyika lini kuliondoa jambo la bandari katika mambo ya muungano?
 
Profesa Njaa huyo
achana naye
Hapana.
Katika jambo hili inaonekana wazi kwamba ni zaidi ya "njaa" inayowasukuma baadhi ya watu kufunga akili zao upande fulani.
Hili lipo wazi tokea mwanzo, na lipo kwa muda mrefu.
Kwa baadhi ya watu, ukiweka kwenye mizani na kupima uTanzania wao na dini zao wanazoziamini wao, dini zinakuwa ni kila kitu kwao, na kusahau kwamba Tanzania ipo siyo kwa manufaa ya dini yoyote bali kwa waTanzania wote.

Kama ni mungu wanayemwamini ndiye aliyeiweka hapo Tanzania na kuwaweka wengine wote waliomo humo na kuwapenda, wao hilo hawalioni kabisa.

Huu ni upumbavu mkubwa sana, bila kujali kiwango cha usomi alionao mhusika.
 
alisifiwa sana and he was very professional! alisthili sifa hizo, Leo kwa sababu mama ni mzanzibar, akili imekufa
Mnampiga gubu profesa wa watu.. ana watoto mjueπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimeona wasomi wanasaliti taaluma zao ili wapate vyeo. Njaa ni laana
 
Mariaspace?!Unategemea nini kitoke huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…