Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

  • wanawake wote hawa we hujawaona?
  • akhaa mi staki
  • staki utaniumiza
  • mi naogopa
  • mi nna mtuwangu
  • namwogopa dada
  • mi bado mdogo
  • kwani we ujaoa?
  • we mbona mkubwa?
Hio " mi nina mtu wangu "

Kuna dogo Under 18 huwa anashinda dukani, duka lao lipo karibu na clinic moja hivi so huwa naenda kupata bites na maji hapo, vikibaki vichenchi chenchi namuachia,mwishowe tukazoeana

Nikaomba namba siku mbili mbele nikashusha stanza. Akaniambia nina mtu wangu. Siku nyingine pia nikakumbushia akaniambia the same. Nikaachana nae.

Siku akaniomba hela amemiss kula kiepe, nikamtumia kumbe anadaiwa songesha, voda waka offset juu kwa juu

Badae analalam kuwa katoa hela kidogo, nikasema aache kukopa, akajibu Mimi sitaki nimechukia na bado njaa inaniuma, nikamkumbusha kuwa anabwana wake akasema wamegombana.

Nikasema bado anawajibu wa kukuhudumia si anakukula, akapotea.

Masaa kadhaa mbele naambiwa mambo, namjib poa, ananambia kichwa cha muuma, nikasema amwambie bwanake afu aache kunitafute kama ambavyo mimi simtafuti.

Ikaisha hivo
 
Huna mke kweli wewe?
Unafanya kaz gani?
Hapo unapokaa umejenga?

Yaan ni njaa njaa tu, kazi ya mtu wewe inakuhusu nini? Focus siku hizi ipo kwenye maokoto, hakuna mapenzi kabisa! Sema watu wa hivyo kuwala ni simple sana.
 
Utasikia unaomba namba yangu ya nini?

Sasa Kuna Yale mapumbavu unaomba namba linakupa namba ya mshikaji wake ,ukioiga unakuta mwanaume anapokea unaishia kusema nime wrong namba.

Akijifanya kiherehere anakula matusi yeye na Mwanamke wake mpumbavu
 

rhetoric questions hizi

Kiswahili tunasema "jipime mwenyewe" almaarufu jikaange mwenyewe...ukiulizwa haya maswali ujue umekutana na mwanamke mwenye fikra za juu juu hivi! Usipojipanga atakupanga akiamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…