Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

Kwanini nife lakini 50thebe 😅😅😅😅
Maswali uliyoulizwa ni maswali ya commitment (kukata shauri). Ulivyochambua kwamba yanakukera ni busara tupu!

Lakini wanaouliza haya maswali wanajikinga wasipate dharuba maana ima wamekata shauri ama wako mbioni kukata shauri juu yako. Hivyo kuuliza ni kupata mwelekeo kuhusu commitment yao kwako.

Hata hivyo nakuelewa mtazamo wako...uko sahihi! Pia usisite kuwajulisha kuwa hizi hatua kwako ushahitimu.
 
Mpaka mtu anakuuliza hayo maswali amekuona boya flani hivii..
 
Mtu anakuuliza swali kabila gani wewe?

WTF!!
 
Kuchukia ni UDHAIFU,jibu huenda utapata uponyaji wa tatizo lako au DHARAU(kataa kujibu) huenda utabaki na tatizo lako mpk kufa.


NB: usidharau lengo LA muulizaji ukajijibu mwenyewe na kuwa na hasira.hyo pia ni too personal kuingilia lengo LA MTU na kumshtak bila ridhaaa ake .
 
Mara nyingi wanaoulizaga hata sio wa kutoa suluhu.....
TATIZO UNAJIJIBU WEWE,SWALI USILOULIZA.


wewe ukijibi uliloulizwa tu,inatosha usiende mbali mpk kumchambua muulizaji na kujivika lengo lake,ni bora useme "SIPENDI KUONGELEA LOVES LIVES" kuliko unavyofanya
 
Unamwambia "niombeee nipate Mme mwema" imeisha...
 
Maswali ya kawaida tu

Kama umeolewa unasema kweli na kama bado unasema tu bado na kama ni tasa unasema tu. sioni ugumu wowote hapo mama ake D .

Yaani Simple and clear
Haaaah weng michepuko wa waume za watu,sasa inawauma kuulizwa hvyo wanadhania wanajulikana wanachepuka na sisi,kumbe n siri ..
 
30+ lazima ukasirike na roho iiume kwa maswali madogo, ila ukiwa 25- huwez kasirika,utajibu na kujibika
 
Kwa kweli kwingi nimehitimu
 
Utakuta mtu anakuuliza unafanya kazi gani? Ukishajua itakusaidia nn au unataka uwe unanipiga mizinga?
Umeoa ukishajua itakusaidia nn?
mama D kama na maswali murua kama haya yanakuudhi, basi utakuwa unaudhiwa na mambo mengi sana hapa duniani. Pole sana, lakini.
 
[emoji3][emoji3]ukiamua kuzaa mwisho wanakusema tena single mother, Africa tunajijua wenyewe
 
Aiseee bora muoe hawa kina dada wa humu jf maana umri umeenda na wameshatulia

Hivo vitoto vya 20 to 25 hatari tupu, vinabambiwa kwenye club, vinashikwa/vinabinywa maziwa mpaka huruma, vinabambiwa kupita kiasi
 
mama D tumekutana mtaani nikakuelewa na mimi sitaki kutongoza mke wa mtu, nikikuuliza umeolewa nitakuwa nimekosea!? Nikikuuliza una watoto wangapi ili nijue ikitokea umenikubali, hao watoto watakuwa concern yangu nalo ni kosa!?

Nadhani shida ninayoiona hapo ni kukuuliza utazaa lini au utaolewa lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…