Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

Sioni kama maswli hay yanakera isipokuwa yanakera kwa sababu ya kutopenda ukweli hivi ukisema nimeolewa, nimeoa nina watoto shida iko wapi . Maana hay ni maswali yakumdairect mtu afanye nini na ndiyo maana mtu ukiongea naye na hupendi akusumbue kwa kuwa umemuona ana dalili za kukutaka kumwambi umeolewa, umeoa au unawatoto haiumizi kichwa.

Waanaume akikutongoza ukakataa na sababu ikawa umeolewa hataacha kukutongoza kwa sababu ukimjib mwanaume hivo wengi wetu tunajua ww ni mwwpesi sana hujielwi umependa lkn unatoa taarifa tu kuwa niwe makini ww ni muke ya mtu.

Na wanawake wengi wapendao jibu hilo wanaliwa sana.
 
Wengi wanauliza ili wajue umefikia wapi kwenye maisha...
Yes,wengi wao wanakuwa kwenye masumbufu ya ndoa,so wanataka kujua kama na wewe umeuingia mkenge ili mlingane au bado,,,
Yaani kifo cha wengi kiwe harusi...
 

Na haya maswali yanaulizwa zaidi na wanawake na wanaulizwa ni wanawake pia

Hayo ya wanaume kuuliza wanawake au wanawake kuuliza wanaume hata hayana maudhi
 
Hili swali linaumiza sana
Sikuwahi fikiria kila nitakapopita nitaulizwa ..
Mungu atujalie ..
 
Saiv hata ukiwa na watoto nongwa.Ni wa baba huyohuyo? Ulizaa kawaida au operation?
Swali zuri na la mantiki si Tu kwa "ke" ata kwa "me"

Kwa kawaida mtu hueshimu na kumpenda alie shiriki nae kupata mtoto.

Sasa jitu limezalishwa/zalisha watu 2+ na hawakuoa/ao kuolewa ujue mahusika anamapungufu yamewashinda watu 2+ wewe Nani uyaweze?
 
Huzuiwi kuwaza unachotaka

Ila kwani nikichepuka unaumia!!??

Ajabu kama starehe ya mwingine inaweza kukusumbua akili zako🤔🤔
Siumii hata..Ila nataka tu na mimi tupange unitunuku🤔🙌🙌
 
Siumii hata..Ila nataka tu na mimi tupange unitunuku🤔🙌🙌

Nimtunuku baba yako na wewe pia!???

Wanatunukiwa waliojaaliwa na wenye kujali buana, sio wewe

We bado mtoto sana kwenye mrengo huo
 
Anayekuuliza mwanamke mwenzio sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…