chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Haka ka profile Kako kamekaa vizuri hatari,huwa mara kwa mara na kazoom hata sasa baada ya kuweka hii nakaangalia tena.Umetoa ushauri mkali Sana [emoji38] naamin eeleweka China siyo taifa la kushabikia Wala kuwaegemeaa Ni watu wapuuz mno ,wanyonyaji ,Hana democracy Wala kujali haki za binadamu nashangazwa kuona watu wanawashabikia wachina na kuwacha wazungu , nashangazwa pia kuona watu wakisema wazungu ni wanyonyaji ,HV niulize Kuna mtu mnyonyaji kama mchina na muhindi
Kwa logic yako wengine akiwemo US hawajawekeza kwenye dollar kama China kwahio hawajui nguvu ya Dollar ?China ana dollar nyingi sana, yes ni biggest currency reserve country ila amewekeza kwenye dollar maana anajua nguvu ya dollar.
Angalia Kaka usijali kbsa ikiwezekana wahi bafuni na sabuni yako ya detoxHaka ka profile Kako kamekaa vizuri hatari,huwa mara kwa mara na kazoom hata sasa baada ya kuweka hii nakaangalia tena.
Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
Nimesoma comments zote mpaka hapa naishia kucheka tu. Mara wanakwambia China ndio ana largest reserve ya USD duniani. Sasa wewe unaweza tunza kitu kisicho na thamani, kwanini asitunze JPY au EUR au atupe hizo USD alizonazo kwenye reserve ili na nchi nyingine ziachane nazo.Mnaongeaa afu China na Marekani wanauziana kwa Dollar
Ukweli ni kuwa nchi nyingi zitaamua tumia pesa zao kwa zao kufanya biashara ila watahitaji USD kulipa mikopo ya nyuma na mikopo mipya kutoka IMF, WB etc.Nimesoma comments zote mpaka hapa naishia kucheka tu. Mara wanakwambia China ndio ana largest reserve ya USD duniani. Sasa wewe unaweza tunza kitu kisicho na thamani, kwanini asitunze JPY au EUR au atupe hizo USD alizonazo kwenye reserve ili na nchi nyingine ziachane nazo.
Kwanza mleta mada hajui kwamba Yuan imeipiku USD kwenye transaction za China, sio za dunia. Mpaka mwaka huu China ilikuwa inafanya biashara kutumia USD kuliko kutumia sarafu yake. Yuan imetumika kwa 48.4% ya exchange ya China, USD imetumika kwa 46.7% na China hiyo hiyo mwezi March mwaka huu. Yani $ inatumiwa na China kwenye mabadilishano ya fedha kwa 46.7% alafu mtu anasema Yuan inaitisha dollar sasahivi?
Tukienda duniani, matumizi ya Yuan 'yamepanda' mpaka 4.5% ya exchange zote duniani, zingatia yamepanda. Wakati matumizi ya USD ni 83.7%.
Sasa nauliza jamani, kati ya 83.7% ya $ na 4.5% ya Yuan ni ipi kubwa.
Elimu! Elimu! Elimu!
Ungeusoma uzi kwa kutuliza fuvu hilo usingeandika haya.Kwanza mleta mada hajui kwamba Yuan imeipiku USD kwenye transaction za China, sio za dunia
China hata matumizi ya sarafu yake kwenye exchange duniani yazidi ya mwezi uliopita mara 10 Yuan haitofikia Euro, achana na kuizidi kwenyewe.Ni kweli mkuu lakini hii ni ishara kuwa Yuan inazidi kuimarika.
Una taarifa kuwa kwa sasa Yuan has surpassed the Euro in global trade invoicing
Uko sahihi hata sikupingi hapoWakati matumizi ya USD ni 83.7%
US hajawekeza kwenye USD yake amewekeza kwenye sarafu gani mkuu?Kwa logic yako wengine akiwemo US hawajawekeza kwenye dollar kama China kwahio hawajui nguvu ya Dollar ?
Hivi unajua huenda Wachina hawafurahii hii hali wala wao hawapendi kabisa thamani ya Pesa yao iwe kubwa ?
It ain't an overnight process mkuu.China hata matumizi ya sarafu yake kwenye exchange duniani yazidi ya mwezi uliopita mara 10 Yuan haitofikia Euro, achana na kuizidi kwenyewe.
Huu uchambuzi hauna maana kama hujaweka value ya vitu. Hizo asilimia zinaweza kudanganya kama value ya vitu ni ndogo.Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar.
Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China kwa kutumia Yuan yalikuwa ni 0% na point kadhaa tu wakati mauzo kwa kutumia US dollar yalikuwa ni 83%. Kufikia 2023 matumizi ya Yuan yamepanda kufikia 48% na US dollar yameshuka kufikia 47%
INFOGRAPHIC:
View attachment 2601507
Hii inamaanisha mataifa mengi yanayoagiza bidhaa kutoka China yameonyesha kukubali matumizi ya Yuan badala ya US dollar.
Wakati huohuo taifa la Argentina limetoa tamko rasmi leo kuwa watatumia sarafu ya Yuan tu watakapoagiza bidhaa kutoka China.
IN BRIEF:
China’s cross border transactions by currency
●Yuan: 48.4%
●US Dollar: 46.7%
Pole kiongozi. Sasa kama tuna kitu kinaitwa 'unthinking intelligence' unategemea nini kutoka kwetu? Kuna msemo kwamba 'nyoka huuma afikiapo'. Akifikia kwenye kisigino hawezi kuuma mkono au akifikia kwenye bega hawezi kuuma kidole cha mguu.Haya Mambo sio mazuri kiushabiki kwa sisi, mataifa tunaotegemea misaada kutoka mataifa ya ulaya, ambayo tunayaombea yapate hasara na kutengwa na dunia. Ni sawa na kinda wa ndege ajaanza kuota mbawa anaombea mama ake afe amrisishe kiota. Akimiliki icho Kiota.
Nakupa nchi ambazo hazitokaa zitumie Yuan na zipo chumi 10 bora duniani. Japan, South Korea na India hizo ni maadui wa asili wa China. USA ni mshindani wa China. Hapo una nchi 4 za uhakika hazina mpango na Yuan hata iweje.Uko sahihi hata sikupingi hapo
Lakini wakati huohuo share ya US dollar kwenye global forex reserves imeshuka kutoka zaidi ya 70% mwaka 1999 mpaka kufikia 58% mwaka 2022 kulingana na ripoti ya IMF
Mkuu kinachozungumziwa hapo ni the most-used currency in China's cross-border transactionsHuu uchambuzi hauna maana kama hujaweka value ya vitu. Hizo asilimia zinaweza kudanganya kama value ya vitu ni ndogo.
Unaweza kuuza vitu 1000 kwa Yuan, vyenye thamani ya USD 1000.
Halafu mwingine akauza kitu kimoja kwa USD, chenye thamani ya USD 1,000,000,000.
Sasa hapo napo utatamba kwamba matumizi ya Yuan ni makubwa, yametumika katika biashara ya vitu 1,000, wakati yale ya USD yametumika katika kitu kimoja tu?
Kumbuka hizo asilimia ni asilimia za transactions, si asilimia za mapato.
Sikupingi uko sahihiNakupa nchi ambazo hazitokaa zitumie Yuan na zipo chumi 10 bora duniani. Japan, South Korea na India hizo ni maadui wa asili wa China.
Tittle "Yuan ya China yaipiku Dola ya Marekani" inaweza kuwa relevant miaka zaidi ya 30 ijayo na sio leo. Unless hapo kwenye tittle uongeze "baina ya China" ndio tittle iko relevant kuanzia mwezi March mwaka huuIt ain't an overnight process mkuu.
Unamaanisha kuwa nazo ni miongoni mwa sarafu ambazo zinaongoza kwenye global forex reserves?Kuna Australia ina dollar yake inatumiwa duniani kuliko Yuan. Kuna Canada dollar yake vilevile inatumika kuliko Yuan
Tunazungumzia mauzo ya nje ya bidhaa za China tayari Chinese Yuan overtakes US Dollar ndo linakuja neno "yaipiku"Tittle "Yuan ya China yaipiku Dola ya Marekani" inaweza kuwa relevant miaka zaidi ya 30 ijayo na sio leo. Unless hapo kwenye tittle uongeze "baina ya China" ndio tittle iko relevant kuanzia mwezi March mwaka huu
Namaanisha kwenye exchange. Nimesema kwenye reserve tushamaliza kama USD ni mbaya haina tija na mashiko basi hiyo China ambayo ndio ina mbadala iachane na USD kwanza ili wafuasi waiache na wao.Unamaanisha kuwa nazo ni miongoni mwa sarafu ambazo zinaongoza kwenye global forex reserves?
Nahisi hapa kuna tatizo la mimi kuanza kujirudia rudia kama Santuri mbovu....US hajawekeza kwenye USD yake amewekeza kwenye sarafu gani mkuu?
Kama USD ni weak hivyo, China aipige chini kwanza yeye mwenyewe na aachane na hiyo reserve. Tofauti na hapo huwezi ishaiwishi Ufilipino au India itumie Yuan ya China wakati Mchina ana reserve kubwa ya USD.
Again mtu unaenda kununua vitu ili iweje - (what is the purpose of buying ? ili ushike shike sarafu, au does it matter umelipia currency gani so long as unakipata hicho kitu) ?; Na nani amekwambia China wanataka nchi fulani itumie Yuan kama Reserve Currency; Kuna muda mafuta yote yalikuwa priced in USD hapo ndio watu walilazimika sana wawe na USD sasa hivi hata nchi za Kiarabu zimeamua kuanza kutoka huko (hakuna advantage kwao) kwahio mwisho wa siku hata hii commodity kuipata hautalazimika kuwa na USD;Ni kweli China haitaki thamani ya sarafu yake ikue, ili isipandishe production cost na kushusha PPP, hivyo kupandisha bei ya bidhaa zake kwenye soko la dunia. Na kukwepa kulazimika kuitafuta hiyo Yuan ikiwa soko la nje kuirudisha ndani. Na hivyo China inafanya devaluation kwa sababu, ndio maana hakuna nchi yoyote itatumia Yuan kama reserve currency, USD inapanda na kushuka kutokana na market ila Yuan pale CCP wakijisikia inashuka.
Narudia tena so long as unauza na watu wanahitaji bidhaa zako wewe ndio una-set terms za kufanya biashara husika...; na muuzaji ndio ana say alipwe vipi; ila linapokuja suala la kushinikiza labda ukitaka kununua mafuta lazima utumie sijui dollar au yuan hio sio Kosher....; Namalizia kwa kukumbushia mdau Voltaire alivyosema...Hata Russia ikiuza mafuta kwa Yuan inajitahidi iwarudishie Wachina sarafu yao mara moja kwa kufanya imports tatizo linakuja Russia inaagiza vitu vichache kutoka China. Yuan itatumika baina ya let's say South Africa na Iran?
Bado USD tunayo miaka mingi baadae