Mataifa yanayoagiza bidhaa China yatumia zaidi Yuan na kuipiku dola ya Mmarekani

Kwenye global exchange uko sahihi.

Lakini kwenye global forex reserves Yuan ni miongoni mwa sarafu tano bora duniani. US Dollar, Pound, Yen, Euro na Yuan

Kwa mujibu wa IMF hizi zinaitwa world's five leading currencies
 
Thamani ya Yuan yenyewe inapangwa na serikali ya China, haipangwi na market forces.

Hilo pekee linaifanya Yuan kuwa na tatizo kubwa ikilinganishwa na US dollar.
 
Kwa logic yako wengine akiwemo US hawajawekeza kwenye dollar kama China kwahio hawajui nguvu ya Dollar ?

Hivi unajua huenda Wachina hawafurahii hii hali wala wao hawapendi kabisa thamani ya Pesa yao iwe kubwa ?
Thamani ya yuan ikiwa kubwa , vitu vya kichina vitakuwa expensive, hivyo kupunguza demand ya bidhaa, jambo ambalo imeifanya Serikali ya China kuingilia Kati mara nyingi
 
Thamani ya Yuan yenyewe inapangwa na serikali ya China, haipangwi na market forces.

Hilo pekee linaifanya Yuan kuwa na tatizo kubwa ikilinganishwa na US dollar.
Kweli kabisa, uko on point.
Inapaswa yuan waisubmit kwa IMF kabla ya yote.
 
Always kuna msemo "Bet against Uncle Sam at your own risk "
Wanaobet against dollar Kuna kitu hawaelewi ,they will soon be in for a rude awakening
 
Nawaza tu!
Kwamba haya mawazo uliyoyatoa ww ina maaana china hawana wataalamu kama ww ili watekeleze na sarafu yao itawale.
Pale world bank( wb) na IMF pana mchezo wa makusudi unaofanya na wayahudi wamarekan wanafanya mataifa mengine kuwa maskini.
China kama vip wangeanzisha mabenki ya BRICS
 
Hizo ni siasa tu hakuna sarafu inayoweza kuipiku dola ktk dunia hii na mfumo wa siasa ya China inayofanya serikali idhibiti benki kuu haiwezi ikaifanya hiyo Yuan iwe sarafu ya kuaminika.

Na hata kama Yuan ikiwa sarafu ya kutumiwa duniani itabidi iachwe itafute thamani yake na hapo ndipo itakapopanda thamani na kupelekea bidhaa za China kuanza kuwa ghali na za Marekani kuwa rahisi hali itakayopelekea mauzo ya bidhaa za China nje kupungua kwa kasi na za Marekani kuongezeka zaidi.
 
Wewe akili kisoda umeshindwa kuelewa maana ya nlichoandika.
Elewa concept ya substance over form
Mtu kaleta taarifa ya kiuchumi kama ilivyoandikwa huko,ikionesha jinsi pesa ya uchina ikiipiku pesa ya USA wewe badala ya kuichambua kama ilivyoletwa una mtaka mleta taarifa achague kuishi china au Marekani.
Mimi hapo sijaona uhusiano wa kuleta mada na data zake na wewe kumtaka achague kuishi USA ama china. Hoja Yako haihisiani kabisa na habari aliyoileta mtoa mada.
Ila sahani lkn kama nimekukwaza lkn kumbuka huu ni mjadala.
 
Hebu nifahamishe


Ili pesa iwe gold standard inamaana wanabandika kajidhahab kadogo kwenye noti husika au wanafanyafanyaje ili iwe na vigezo hivyo
 
Sidhan km kuna taifa hapa dunian ambalo lina demokrasia na kujal kuhusu haki za binaadam
 
Vita vya Russia na utawala wa dola
 
Thamani ya yuan ikiwa kubwa , vitu vya kichina vitakuwa expensive, hivyo kupunguza demand ya bidhaa, jambo ambalo imeifanya Serikali ya China kuingilia Kati mara nyingi
Utajihidi kumuelewesha lakini hata elewa sababu kilichojaa kwenye fikra zao ni chuki dhidi ya US.
 
Hiyo inaitwa usiyempenda kaja no way
 
Ni kweli mkuu lakini hii ni ishara kuwa Yuan inazidi kuimarika.

Una taarifa kuwa kwa sasa Yuan has surpassed the Euro in global trade invoicing
Euro hata Pound Ina value kubwa kuliko dollar lakini bado haijawa reserve currencies
 
Bora uwaambie vijana hawana wanachoelewa zaidi ya kubeti tuuu. Bidhaaa izi zinatoka USA na ndio matumizi ya dollars yanapoanzia ARV, Condoms, Dawa za uzazi wa mpango, Chanjo za magonjwa ya Tuberculosis (TB), Surua, Android, IOS, Chanjo za magonjwa ya INI, Window Operating system, Wikipedia, tweeters, Instagram, Facebook, Shazam, Java, Microchip, ATM system, banking system.
Sasa ivi vitu vyote ndio ufanya uitumie dollars kwa kutaka Tena kwa lazima jeee nani yupo tayari kuacha kutumia ivi vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…