Ahaaaahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alikuwa ashakuweka kwenye 18 una bahati akili yako iko sawa sawa
Huyu ni nomaz..[emoji1][emoji1787]Aisee ulikuwa kweli umekutana na tapeli tena professional
Mmmh polisi sikanyagi mimi...wakipewa hela wanamuteUngeenda polisi. Sema matapeli wanafahamiana sana na polisi.
Sasa hivi ana ela? Matapeli wote uwa wanajifanya wako vizuri. Ila matapeli ni watu smartHuyu ni nomaz..
Kule insta kumejaa maneno ya busara na hekima, motivation speaker fulani, ana ofisi eti kali anakushauri jinsi ya kucontrol your money[emoji1787][emoji1787]
Jamaa amejipanga si kitoto asee
Banged up broad it's also my favorite. Ila iliyokuwa inanikosha ni The Ross KempYes, ana vipindi bomba sana. Baada ya hapo inadondoka banged abroad.
Siku hizi ndo favorite shows zangu nlikuwa napenda sana IDx sasa now IDx inaangukia nafasi ya pili
Sikuwahi iona hiyo The Ross Kemp, maana mimi hiyo channel nilikuwa siitazami zaidi ya airport security, nimeanza tazama hivyo vipindi just mwezi uliopita baada ya kukutana navyo bahati mbayaBanged up broad it's also my favorite. Ila iliyokuwa inanikosha ni The Ross Kemp
Anayo waaapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hivi ana ela? Matapeli wote uwa wanajifanya wako vizuri. Ila matapeli ni watu smart
Anaishi maisha ya juu kuliko uwezo zinaishia huko kwenye kulipa rent ambayo ni kubwa, kula ni expensive placesAnayo waaapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona simu zake, viwalo, smart, anaishi ushuani ( kapanga), handsome ni lazima uingie king!
Hana hata mia mfukoni, sijui hela zake akipiga zinaishia wapi? Huwa najiuliza hili swali, sijui ndo zinaishia kwenye viwaloo[emoji848][emoji848]
Vizuri sana🤝Sikuwahi iona hiyo The Ross Kemp, maana mimi hiyo channel nilikuwa siitazami zaidi ya airport security, nimeanza tazama hivyo vipindi just mwezi uliopita baada ya kukutana navyo bahati mbaya
Naomba uwatake radhi wajomba zangu[emoji23]Tena huyu ni mbongo mwenzetu tu ...halafu nikikutajia kabila lake sasa utachoka[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Ni lile kabila linaloongoza kwa ushamba wa kila kitu kivutio cha watalii[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Oooh hapo nimekupata vizuri kabisa[emoji848]Anaishi maisha ya juu kuliko uwezo zinaishia huko kwenye kulipa rent ambayo ni kubwa, kula ni expensive places
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] shost nilitaka kukamuliwa na kivutio cha watalii dunia nzima acha tu siamini ujue hadi sasa hivi[emoji848][emoji1787]Naomba uwatake radhi wajomba zangu[emoji23]
Na mimi ndio nashangaaHahahaha kajifunza wapi utapeli hao mimi nawaona innocent
Wanatumia vibaya wakijua na kesho watapiga. Ni kama maisha waliochagua yani hawawezi kuachaOooh hapo nimekupata vizuri kabisa[emoji848]
Huwa mi najiuliza kama ana uwezo wa kupiga labda milioni 50 mahali...mbona anakuwa hana kitu daily[emoji1787][emoji1787]
Nikasema labda hela za machozi ya watu ndo maana hatoboi