Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

[emoji1787][emoji1787] Alikuwa ashakuweka kwenye 18 una bahati akili yako iko sawa sawa
Ahaaaahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakwambia hivi wala sio ujanja wangu Mungu wa mbinguni ashukuriwe Amina

Sijui ningeliaje Wity mimi[emoji848]
 
Ungeenda polisi. Sema matapeli wanafahamiana sana na polisi.
 
[emoji1][emoji1787]Aisee ulikuwa kweli umekutana na tapeli tena professional
Huyu ni nomaz..

Kule insta kwenye page yake kumejaa maneno ya busara na hekima, motivation speaker fulani, ana ofisi eti kali (picha plus video) anakushauri jinsi ya kucontrol your money[emoji1787][emoji1787]

Jamaa amejipanga si kitoto asee
 
Huyu ni nomaz..

Kule insta kumejaa maneno ya busara na hekima, motivation speaker fulani, ana ofisi eti kali anakushauri jinsi ya kucontrol your money[emoji1787][emoji1787]

Jamaa amejipanga si kitoto asee
Sasa hivi ana ela? Matapeli wote uwa wanajifanya wako vizuri. Ila matapeli ni watu smart
 
Yes, ana vipindi bomba sana. Baada ya hapo inadondoka banged abroad.
Siku hizi ndo favorite shows zangu nlikuwa napenda sana IDx sasa now IDx inaangukia nafasi ya pili
Banged up broad it's also my favorite. Ila iliyokuwa inanikosha ni The Ross Kemp
 
Sikuwahi iona hiyo The Ross Kemp, maana mimi hiyo channel nilikuwa siitazami zaidi ya airport security, nimeanza tazama hivyo vipindi just mwezi uliopita baada ya kukutana navyo bahati mbaya
 
Huku sisi tunao pia...

Tuma kwenye number hii...
 
Sasa hivi ana ela? Matapeli wote uwa wanajifanya wako vizuri. Ila matapeli ni watu smart
Anayo waaapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukiona simu zake, viwalo, smart, anaishi ushuani ( kapanga), handsome ni lazima uingie king!

Hana hata mia mfukoni, sijui hela zake akipiga zinaishia wapi? Huwa najiuliza hili swali, sijui ndo zinaishia kwenye viwaloo[emoji848][emoji848]
 
Anaishi maisha ya juu kuliko uwezo zinaishia huko kwenye kulipa rent ambayo ni kubwa, kula ni expensive places
 
Sikuwahi iona hiyo The Ross Kemp, maana mimi hiyo channel nilikuwa siitazami zaidi ya airport security, nimeanza tazama hivyo vipindi just mwezi uliopita baada ya kukutana navyo bahati mbaya
Vizuri sana🤝
 
Tena huyu ni mbongo mwenzetu tu ...halafu nikikutajia kabila lake sasa utachoka[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Ni lile kabila linaloongoza kwa ushamba wa kila kitu kivutio cha watalii[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Naomba uwatake radhi wajomba zangu[emoji23]
 
Anaishi maisha ya juu kuliko uwezo zinaishia huko kwenye kulipa rent ambayo ni kubwa, kula ni expensive places
Oooh hapo nimekupata vizuri kabisa[emoji848]

Huwa mi najiuliza kama ana uwezo wa kupiga labda milioni 50 mahali...mbona anakuwa hana kitu daily[emoji1787][emoji1787]

Nikasema labda hela za machozi ya watu ndo maana hatoboi
 
Wanatumia vibaya wakijua na kesho watapiga. Ni kama maisha waliochagua yani hawawezi kuacha
 
Back
Top Bottom