hahahahaha Mkuu Elijah mtshibi alikua ni Alliens au Jamii za Annunaki waliopata kuja Duniani kupiga misele pale Israel ya kale kidogo,
Jamaa kufika pale kitu Cha kushangaza akakutana na Mmoja wa miungu au Goddess queen Jezebel nae ni annunak kashatimba long time ago na amejifanya pisi Kali na kuolewa na mfalme Hezekiah kama nipo sawa,
Basi tunajua Annunaki ni Wazee wa Dhahabu basi wakati jezebel kajikusanyia hazina yake Elijah mtshibi nae akatimba Jerusalem Ili aingie business na mfalme
Refer maandiko yangu kwenye niliposema Annunaki El aliingia Mkataba na Abraham uzao wake utakua ni source na wakusanyaji wa Dhahabu kwenye ule Uzi wa Annunaki kumuumba Binadamu ,
Sasa turudi Kwa jamaa kufika pale na kumkuta Jezebel kashatimba kulimuudhi ni kama waligongana kwenye mission halafu Kila mtu akavunga kama hajaona kitu vile kilichokuja kumtibua jezebel ni Elijah mtshibi kuunguza deal maana aliwakamata manabii wa Baal ambao Jezebel aliwatumia kama propaganda Kwa mfalme
Maana walikua wanaigiza uganga na uchawi na miujiza mingi mingi kumuaminisha mfalme mwamba Jezebel ni Malkia wa nguvu kumbe nyuma Kuna deal na Kila aliejua Siri aliuawa,
Sasa bwana Elijah Ili amuumbue Jezebel Ili mfalme amtimue Akawaita manabii wa Baal akajenga madhabahu akawaambia kama nyie kweli ni manabii wa Huyo Mungu wenu na ananguvu washushe moto kwenye madhabahu iliyotolewa sadaka ya kuchinja na ikamwagiwa na maji mengi Sanaa [emoji16]
Jamaa alikua na visa Sana manabii wale wa mchongo walitumiwa na Jezebel wakaanza fanya maigizo Yao pale kumbuka wao hawakua na uwezo wowote Bali Jezebel akiwa karibu Ndio hufanya manuva kisiri na miujiza hutokea yaanii Ile trick na maujiko huenda Kwa manabii wa mchongo Ili Dili lisibumbuluke
Sasa siku hiyo walichukuliwa na kupelekwa mbali Sana yaani Leo watolewe dar wapelekwe mwanza kutenda miujiza na Jezebel hayupo anayewawezesha
Weeeeeeeee walipiga manyanga wapi!,imba imba Sana na kuvua Hadi nguo hakuna majibu mpaka jua linazama Elijah na mfalme Hezekiah wanawachora tu huku wanagonga popcorn na wine
Baasi mwishoni Elijah mtshibi akamwambia mfalme Hawa wahuni walikua wanakuibia tu na wanatumiwa na Mkeo ambae ni Shetan yule Jezebel kakuroga Ili akuibie dhahabu zako Sasa Kwa
Mbwembwe Elijah mtshibi akasimama Kwa sababu Annunaki ni high advanced technology akavuta siraha ya mionzi kama nyundo ya Thor Ragnarok
Akapeielekeza juuu ikatengeneza power na kitu kama radi Kali Sana akaishusha kuelekeza pale kwenye madhabahu kilichotokea Biblia imesimulia
Haloooo ule moto ulilamba Kila kitu yaani uliyeyusha mpaka mawe [emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wote tunajua function ya mionzi ya radiation ilivyo bwana Kila mtu alipagawa na kusujudu Kwa Elijah mtshibi
Jamaa Kwa mbwembwe akawafyeka wale manabii wa mchongo wa Jezebel na mfalme akampa maujiko jamaa akasema twende Kwa Jezebel tukamtie adabu [emoji16]
Jezebel aliposikia taarifa za Kile kitendo Cha jamaa kuunguza Dili lake alimaindiiiiiiii unajua hasira za wanawake Broo,haaahahahaaa
Jezebel si alikua Goddess queen aliapa kumfyeka Elijah mtshibi maana alikua mwanamke wa shoka mwenye ujuzi wa hatari Ile radi ya Elijah mtshibi haikufua dafu Kwa Jezebel yaani jamaa japo ni WA kiume ila mbele ya Ile pisi ya kianunnak ni mchumba tu
Kwani Bible inasemaje kilichofuata?
Elijah mtshibi alikula ndukiiii mpaka kwenda kujificha mapangoni huko aligongwa na njaa mpaka akaomba msaada Kwa wa msosi yaani alituma signal Kwa wenzie akatumiwa kunguru apeleke msosi Kwa Elijah mtshibi
Huyo kunguru hakua kunguru kama unavyoelewa wewe ila ilikua ni mfumo wa drones ambao umekaa kama Eagle [emoji1659] hivi Ndio jamaa akapata msosi ila msako unaendelea kwake Jezebel hakukubali daaa
Elijah mtshibi alikua na vijakazi wake wa hapa hapa Duniani na pia alikutana na Annunak mwenzie aliekua mshirika wake
Jamaa alivyoona so Sana na karokoroga akaenda sehemu walipoficha invisible Spaceship yake akazama akaifungua code ikaonekana machoni pa wanadamu maana aliens huzificha spaceships kwenye 5D dimensions kutokana na teknolojia kubwa
(Angalia movie ya Eternal pale watchers wanashuka Mesopotamia mwaka 500 BC na Lile spaceship kupambana na Divients)
Ndio utajua Nini namaanisha jamaa akaliwasha dude likasepa Kwa speed ya radi Kali Sana angani na kupotelea
Sasa pale ndipo wale waliokua vijakazi wake wakasema AMEENDA MBINGUNI KWA GARI LA FARASI NA MOTO!
Kumbe ni Spaceship UFOs!
Haya mambo yalianzia kitambo Sana ukisoma Kwa Akili ya kawaida huwezi elewa ila Kwa sisi tuliosoma accient tablets za Summerians tunaelewa nini wanamaanisha!
Ndio hivyo mkuu
hearly