Mathematics inaweza kutufunulia kuhusu siri za ulimwengu kweli...??

Binadamu atawezaje kutengeneza kitu kilichomzidi maarifa?
Ile science zama za Leo Leo Bado imewashinda Labda waendelee kutafiti huku mbeleni mkuu,
Zile Pyramids Kwa Nje zipo simple sana ila ukiingia ndani ya bunkers Kule ndani muundo wake Bado una utata Kwa Engineer wa Leo yaani Kila wakipiga hesabu kuona formula wanakwama zinakataa kabisa maana zile angles sio za kawaida,
Kuhusu wajenzi wa zile washaondoka Miaka mingi sana huko nyuma na hawakuacha
Tunaona Kazi zao Bado zipo ila zile walijenga Binadamu wa kawaida zilishazikwa Ndio kwanza watafiti wanachimba ardhini Ndio kugundua miji ya kale ambayo ilijengwa zama ambazo Pyramids zilikua zimeexist Miaka maelfu kabla Yao
Kila kitu kinapita ila Yale madude yamesimama vile vile hayana hata dalili ya kupata ufa what a great Technology!
Mkuuu nakubal
 
Alien wa kibongo upo vizuri..😂

Mkuu hebu funguka kivipi..?
hahahah sawa Zile Pyramids za Giza zilijengwa na Annunaki Miaka zaidi ya miaka laki Tano BCE Zile zilikua ni Power Plants za kuzalisha umeme uliotumika kuchimba dhahabu Kush Enzi walivyokuja Duniani Kwa mara ya kwanza,
Wanasayansi walifungua Bunkers na Voult Kwa kutumia robots maalumu maana zamani watu walijua Pyramids Zina chamber chache walizoziona Kwa macho ya kawaida tu kumbe walikua hawajui Ndani ya Zile Kuta nyuma Kuna Kuta na tunnels nyingine Hii ilichangiwa na ufinyu wa teknolojia ila kitu Cha kushangaza ni Kwamba pale unapodhani Umefika Mwisho chimba kumbe Ndio Mwanzo wa milango Yenye code maalumu isiyoonekana Kikawaida mfano,
Chukulia Umefika kwenye jumba kubwa lenye sakafu Yenye tiles wakati ukijua Ile Ndio floor kumbe chini Kuna handaki la Siri na Ndani ya handaki Kuna chamber na ni Mwanzo wa handaki lingine baadae utajikuta unazidi zama chini na hufiki,

Sasa watafiti walivyofungua Queen chamber kwa kutumia robots waliona mlango wa chemba Tena alipozama kule akaanza ona sign za electric na zisizo na uhusiano na maandiko ya wamisri wa kale Kwa maana ni ya kale mno kiasi Kwamba yanastaajabisha Tena yakiwa na formula za umeme mkali wa mionzi ambao binadamu wa Leo hatujafikia teknolojia hiyo,
Ili nikupe picha Nenda icheki Ile movie inaitwa Eternals ya marvel movies inayoelezea viumbe au watchers walioshuka Duniani Miaka 5000 BCE pale Mesopotamia wakiwa na spaceship kubwa achana na movie Sasa angalia ule mfumo wa chombo chao ulivyo fanana na baadhi ya codes za Pyramids yaani umeme unapita kwenye kama nyufa hivi na Yale maandishi kama miujiza Fulani

Sasa Ile ndio tech iliyokutwa mle Mzee ila wanaendelea na utafiti walichokiona walipiga kimya iendee kujulikana kama makaburi ya mafarao ila wao wanajua Kile ni Nini!
 
Mh! Why do our ancient miss these informations..?
Palitokea nini mpaka zaidi tujidumishe katika hearsay badala ya uhalisia kabisa..?

Naelewa ulichoandika lakini kuamini napata mashaka sana!,Kama hawa viumbe waliacha Mambo haya Africa na hata ustaarabu wakwanza ulianzia pale misri Africa.. je, kwanini tumeendelea kuwa duni mbele ya hawa wenzetu...?

Hao annunaki watarudi..?
 
Kuna huu uhusiano wa namba inaitwa "Golden Ratio" na ulimwengu ambapo kupitia ratio hiyo karibia kila Kitu kinaangukia humo.

Kuanzia kwenye design zote ambazo zimefanywa na binadamu ukifatilia au kutumia golden ratio unapata majibu sambamba kabisa.

Si hivyo tu hata vitu asilia namna vinavyo-exist vyote vinaangukia kwenye "Golden Ratio".

Golden ratio ni namba ambayo inapatikana kwa mfano mstari umegawanywa sehemu mbili, kipande kimoja ni kirefu zaidi ya kingine.

Tuzipe herufi Mistari hiyo yenye vimo tofauti, mstari mrefu (X) na mstari mfupi (Y).
Kupata golden ratio ni kuchukua kipande cha mstari mrefu zaidi (X) gawanya na kimo cha mstari mfupi(Y) jibu utakalo lipata litakuwa sawa na uchukue jumla ya vimo (X) na (Y) ugawanye na kimo cha mstari mrefu na majibu siku zote yatakuletea 1.618.

Golden ratio tunaweza kusema siku zote kama ni hii namba 1.618.

Sasa namba hii inauhusiano na kila kitu katika huu ulimwengu swala tu ukipata kimo cha hicho kitu kwa namna yeyote.

Na kwa kutumia ratio hiyo tunapata design ya vitu vyote kama vile zile Pyramid zilivyojengwa ukifatilia design yake yote inaangukia kwenye golden ratio.

Na pia kutokea hapa kwenye golden ratio pia kuna sequence za namba ambazo ziligunduliwa na jamaa anayeitwa Fibonacci yeye alikuja na mtiririko wa namba ambazo ni 0,1,1,2,3,5,8,13,21,34,..........

Na mtiririko huu ulipatikana kwa kujumlisha namba mbili za mwanzo unapata inayofata alianza na 0,1 ukijumlisha unapata 1, na 1+1, unapata 2 na kuendelea.

Mtiririko huu wa hizi namba unapata maumbo mbali hata wa vidole vyako kwenye pingili pingili zinaangukia kwenye hizi namba.

Unaweza Fatilia Fibonacci sequence & Golden Inaelezea Sana Namna Ulimwengu Ulivyojengeka Na Existence Ya Vitu.
Nimejiribu kuvigawa ivo vipande kwa logic yako majibu napata tofauti.
 
Mh! Why do our ancient miss these informations..?
Palitokea nini mpaka zaidi tujidumishe katika hearsay badala ya uhalisia kabisa..?

Naelewa ulichoandika lakini kuamini napata mashaka sana!,Kama hawa viumbe waliacha Mambo haya Africa na hata ustaarabu wakwanza ulianzia pale misri Africa.. je, kwanini tumeendelea kuwa duni mbele ya hawa wenzetu...?

Hao annunaki watarudi..?
Mkuu hata Wamisri walikua wa kawaida sana Kuna mambo yaliyoasisiwa na Annunak hasa teknolojia za kilimo Cha umwagiliaji,Tiba na uhandisi wa majengo na ufuaji chuma pekee Ndio kitu kilichoachwa Kwenye Jamii waliyoiacha wale viumbe
Inajua Kwanini hawakupewa access nyingine za Siri?

Annunak ni viumbe wenye upeo na maarifa makubwa sana Toka kale wao Ndio waasisi wa ustaarabu tulionao Leo kitu walichofanya wanavyoondoka ni kutompa access ya advanced technology watu na binadamu maana walijua kipindi wakiondoka tu huku Duniani kitanuka na ni kweli Kwa teknolojia ya kufua mapanga,mishalee na mikuki tu falme zikaanza kuuana na kuchinjana kugombania madaraka
Wangeacha access ya advanced weapons Zao zinazotumia mionzi ya radiation na Nuclear power
Unadhani Leo dunia ungekuwepo vuta picha watu kama kina king Nebuchadnezzar,Sinecherib,
koresh,kina goliati na wafilisti,wakaldayo,Waphoenix,
xexes na wengine wengi walivyo sumbua accient world Kwa vita ya mapanga na mikuki tu Sasa wangeachiwa Kila kitu wakiendeshe ingekuaje
Na Ndio maana unaona baada ya wale viumbe kuondoka miji mingi ya kale na ustaarabu wao ukaanza kudondoka mpaka kupotea kabisa Ndani ya Muda mfupi imagine Pyramids kuwa power Plants za kuzalisha electric zikageuka magofu ya kuwazikia wafu maana binadamu wa kizazi kilichokuja mbeleni hawakujua umeme ni Nini na hata wangeona wangedhani ni uchawi na miujiza kama wale waliomwona
Elijah mtshib akienda mbinguni na gari la farasi na moto kumbe jamaa aliondoka na spaceship
kwenda Nibiru/planet X watu wa Israel wakidhani kanyakuliwa na malaika!
 
Haha! Sasa waliyotaka tusiyajue tumeyajua sasa sahivi tuna umeme,tuna nuclear tuna technology ya kutosha..😂

Kwanini unafikiri baadhi yetu wanatuficha siri fulanifulani..?
 
Mkuu ni kweli tumeweza angalau kufikia hizo teknolojia Tena ndani ya kipindi kifupi Sana unajua Siri behind?

Hii Dunia inaongozwa Kwa misingi ya Siri na code maalumu tulipoanza ugunduzi wa machine hasa miaka ya 1880's kilichosababisha ni baadhi ya wanasayansi kuanza kuanza kuzunguka maeneo mbali mbali hasa kule Mesopotamia, Mesoamerica,misri na kubeba tablets mbali mbali na kuzipeleka ulaya hiyo ilianza miaka ya 1500's kina Christopher Columbus,Hernan Cortez,kina Captain Magellan kuanza kupewa financial kuizunguka Dunia na kurudi na tablets za kale
Mfano mtu kama Hernan Cortez alibeba tablets na shehena nyingi ya treasures kutoka Kwa king Montezuma ingawa zile tablets hawakujua maana yake ila baadae watafiti ilikuja kuwasaidia katika vumbuzi mbali mbali
Pia zipo za misri walizobeba Vatican pale maktaba ya kale ya Alexandria
Kingine Cha Siri na kikubwa ambacho tunafichwa ni kwamba waliweza kufanya mawasiliano na hao viumbe na Taifa kama Marekani Lina maeneo kama
Area 51huko jangwa la Nevada za chini chini Toka zamani wapo na project na hao viumbe na Ndio maana Dunia ipo na Kasi Sana Kwenye ulimwengu wa teknolojia ndani ya kipindi kifupi Sana na Kila siku vumbuzi za kushangaza zinaibuka imagine mwaka 2006 hatukukuwa na hata idea ya smart phone afadhali wenzetu Huko walikua na simu batan zenye access ya internet angalia mapinduzi ya Muda mfupi kwenye sekta ya mawasiliano tu Leo mpaka kina sie wa Nanjilinji tunamiliki device ambazo zinatufanya kuwaona ndugu zetu walio mbali sana via video call
Kiasi kwamba ukirudi mwaka 2001 tu hapo nyuma ukawaambia mpaka 2013 kutakua na simu za kumwona anayekupigia watakuona mwendawazimu

Sasa hio ni mifano jinsi Gani Kuna Siri behind ya haya mambo tunayoshuhudia
Sisi tuna bahati Sana kua kwenye kizazi ambacho mambo magumu na yaliyoshindikana zamani na kuonekana miujiza Leo sisi tunajionea ni kitu Cha kawaida
Na Ndio maana Annunak walipokuja accient world na teknolojia kubwa mno waliitwa Mungu/miungu na binadamu akaona ni miujiza mikubwa na maajabu na Ndio nadharia za Dini na kuabudu viumbe wa anga za juu zilianzia hapo wakiwapa majina kama Malaika, maserafi,Mashetani,Majini NK

Ila hivyo vyote vipo under high advanced technology Toka kale sana Kuliko binadamu na Ndio vilivyofanya human cloning project na man manipulations long time ago
Ila vyote vimekua Siri wanaogopa kuwaambia watu ukweli mchungu wakiogopa mass haisteria!
 
Mkuu hata Wamisri walikua wa kawaida sana Kuna mambo yaliyoasisiwa na Annunak hasa teknolojia za kilimo Cha umwagiliaji,Tiba na uhandisi wa majengo na ufuaji chuma pekee Ndio kitu kilichoachwa Kwenye Jamii waliyoiacha wale viumbe
Inajua Kwanini hawakupewa access nyingine za Siri?

Annunak ni viumbe wenye upeo na maarifa makubwa sana Toka kale wao Ndio waasisi wa ustaarabu tulionao Leo kitu walichofanya wanavyoondoka ni kutompa access ya advanced technology watu na binadamu maana walijua kipindi wakiondoka tu huku Duniani kitanuka na ni kweli Kwa teknolojia ya kufua mapanga,mishalee na mikuki tu falme zikaanza kuuana na kuchinjana kugombania madaraka
Wangeacha access ya advanced weapons Zao zinazotumia mionzi ya radiation na Nuclear power
Unadhani Leo dunia ungekuwepo vuta picha watu kama kina king Nebuchadnezzar,Sinecherib,
koresh,kina goliati na wafilisti,wakaldayo,Waphoenix,
xexes na wengine wengi walivyo sumbua accient world Kwa vita ya mapanga na mikuki tu Sasa wangeachiwa Kila kitu wakiendeshe ingekuaje
Na Ndio maana unaona baada ya wale viumbe kuondoka miji mingi ya kale na ustaarabu wao ukaanza kudondoka mpaka kupotea kabisa Ndani ya Muda mfupi imagine Pyramids kuwa power Plants za kuzalisha electric zikageuka magofu ya kuwazikia wafu maana binadamu wa kizazi kilichokuja mbeleni hawakujua umeme ni Nini na hata wangeona wangedhani ni uchawi na miujiza kama wale waliomwona
Elijah mtshib akienda mbinguni na gari la farasi na moto kumbe jamaa aliondoka na spaceship
kwenda Nibiru/planet X watu wa Israel wakidhani kanyakuliwa na malaika!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hebu nipe hiyo story ya Elijah , nimecheka sana
 
hahahahaha Mkuu Elijah mtshibi alikua ni Alliens au Jamii za Annunaki waliopata kuja Duniani kupiga misele pale Israel ya kale kidogo,
Jamaa kufika pale kitu Cha kushangaza akakutana na Mmoja wa miungu au Goddess queen Jezebel nae ni annunak kashatimba long time ago na amejifanya pisi Kali na kuolewa na mfalme Hezekiah kama nipo sawa,
Basi tunajua Annunaki ni Wazee wa Dhahabu basi wakati jezebel kajikusanyia hazina yake Elijah mtshibi nae akatimba Jerusalem Ili aingie business na mfalme
Refer maandiko yangu kwenye niliposema Annunaki El aliingia Mkataba na Abraham uzao wake utakua ni source na wakusanyaji wa Dhahabu kwenye ule Uzi wa Annunaki kumuumba Binadamu ,

Sasa turudi Kwa jamaa kufika pale na kumkuta Jezebel kashatimba kulimuudhi ni kama waligongana kwenye mission halafu Kila mtu akavunga kama hajaona kitu vile kilichokuja kumtibua jezebel ni Elijah mtshibi kuunguza deal maana aliwakamata manabii wa Baal ambao Jezebel aliwatumia kama propaganda Kwa mfalme
Maana walikua wanaigiza uganga na uchawi na miujiza mingi mingi kumuaminisha mfalme mwamba Jezebel ni Malkia wa nguvu kumbe nyuma Kuna deal na Kila aliejua Siri aliuawa,
Sasa bwana Elijah Ili amuumbue Jezebel Ili mfalme amtimue Akawaita manabii wa Baal akajenga madhabahu akawaambia kama nyie kweli ni manabii wa Huyo Mungu wenu na ananguvu washushe moto kwenye madhabahu iliyotolewa sadaka ya kuchinja na ikamwagiwa na maji mengi Sanaa 😁
Jamaa alikua na visa Sana manabii wale wa mchongo walitumiwa na Jezebel wakaanza fanya maigizo Yao pale kumbuka wao hawakua na uwezo wowote Bali Jezebel akiwa karibu Ndio hufanya manuva kisiri na miujiza hutokea yaanii Ile trick na maujiko huenda Kwa manabii wa mchongo Ili Dili lisibumbuluke
Sasa siku hiyo walichukuliwa na kupelekwa mbali Sana yaani Leo watolewe dar wapelekwe mwanza kutenda miujiza na Jezebel hayupo anayewawezesha

Weeeeeeeee walipiga manyanga wapi!,imba imba Sana na kuvua Hadi nguo hakuna majibu mpaka jua linazama Elijah na mfalme Hezekiah wanawachora tu huku wanagonga popcorn na wine

Baasi mwishoni Elijah mtshibi akamwambia mfalme Hawa wahuni walikua wanakuibia tu na wanatumiwa na Mkeo ambae ni Shetan yule Jezebel kakuroga Ili akuibie dhahabu zako Sasa Kwa
Mbwembwe Elijah mtshibi akasimama Kwa sababu Annunaki ni high advanced technology akavuta siraha ya mionzi kama nyundo ya Thor Ragnarok
Akapeielekeza juuu ikatengeneza power na kitu kama radi Kali Sana akaishusha kuelekeza pale kwenye madhabahu kilichotokea Biblia imesimulia

Haloooo ule moto ulilamba Kila kitu yaani uliyeyusha mpaka mawe 😁🔥🔥🔥🔥

Wote tunajua function ya mionzi ya radiation ilivyo bwana Kila mtu alipagawa na kusujudu Kwa Elijah mtshibi

Jamaa Kwa mbwembwe akawafyeka wale manabii wa mchongo wa Jezebel na mfalme akampa maujiko jamaa akasema twende Kwa Jezebel tukamtie adabu 😁

Jezebel aliposikia taarifa za Kile kitendo Cha jamaa kuunguza Dili lake alimaindiiiiiiii unajua hasira za wanawake Broo,haaahahahaaa
Jezebel si alikua Goddess queen aliapa kumfyeka Elijah mtshibi maana alikua mwanamke wa shoka mwenye ujuzi wa hatari Ile radi ya Elijah mtshibi haikufua dafu Kwa Jezebel yaani jamaa japo ni WA kiume ila mbele ya Ile pisi ya kianunnak ni mchumba tu

Kwani Bible inasemaje kilichofuata?

Elijah mtshibi alikula ndukiiii mpaka kwenda kujificha mapangoni huko aligongwa na njaa mpaka akaomba msaada Kwa wa msosi yaani alituma signal Kwa wenzie akatumiwa kunguru apeleke msosi Kwa Elijah mtshibi
Huyo kunguru hakua kunguru kama unavyoelewa wewe ila ilikua ni mfumo wa drones ambao umekaa kama Eagle 🦅 hivi Ndio jamaa akapata msosi ila msako unaendelea kwake Jezebel hakukubali daaa
Elijah mtshibi alikua na vijakazi wake wa hapa hapa Duniani na pia alikutana na Annunak mwenzie aliekua mshirika wake
Jamaa alivyoona so Sana na karokoroga akaenda sehemu walipoficha invisible Spaceship yake akazama akaifungua code ikaonekana machoni pa wanadamu maana aliens huzificha spaceships kwenye 5D dimensions kutokana na teknolojia kubwa
(Angalia movie ya Eternal pale watchers wanashuka Mesopotamia mwaka 500 BC na Lile spaceship kupambana na Divients)

Ndio utajua Nini namaanisha jamaa akaliwasha dude likasepa Kwa speed ya radi Kali Sana angani na kupotelea

Sasa pale ndipo wale waliokua vijakazi wake wakasema AMEENDA MBINGUNI KWA GARI LA FARASI NA MOTO!

Kumbe ni Spaceship UFOs!

Haya mambo yalianzia kitambo Sana ukisoma Kwa Akili ya kawaida huwezi elewa ila Kwa sisi tuliosoma accient tablets za Summerians tunaelewa nini wanamaanisha!
Ndio hivyo mkuu
hearly
 
hahahahaha Mkuu Elijah mtshibi alikua ni Alliens au Jamii za Annunaki waliopata kuja Duniani kupiga misele pale Israel ya kale kidogo,
Jamaa kufika pale kitu Cha kushangaza akakutana na Mmoja wa miungu au Goddess queen Jezebel nae ni annunak kashatimba long time ago na amejifanya pisi Kali na kuolewa na mfalme Hezekiah kama nipo sawa,
Basi tunajua Annunaki ni Wazee wa Dhahabu basi wakati jezebel kajikusanyia hazina yake Elijah mtshibi nae akatimba Jerusalem Ili aingie business na mfalme
Refer maandiko yangu kwenye niliposema Annunaki El aliingia Mkataba na Abraham uzao wake utakua ni source na wakusanyaji wa Dhahabu kwenye ule Uzi wa Annunaki kumuumba Binadamu ,

Sasa turudi Kwa jamaa kufika pale na kumkuta Jezebel kashatimba kulimuudhi ni kama waligongana kwenye mission halafu Kila mtu akavunga kama hajaona kitu vile kilichokuja kumtibua jezebel ni Elijah mtshibi kuunguza deal maana aliwakamata manabii wa Baal ambao Jezebel aliwatumia kama propaganda Kwa mfalme
Maana walikua wanaigiza uganga na uchawi na miujiza mingi mingi kumuaminisha mfalme mwamba Jezebel ni Malkia wa nguvu kumbe nyuma Kuna deal na Kila aliejua Siri aliuawa,
Sasa bwana Elijah Ili amuumbue Jezebel Ili mfalme amtimue Akawaita manabii wa Baal akajenga madhabahu akawaambia kama nyie kweli ni manabii wa Huyo Mungu wenu na ananguvu washushe moto kwenye madhabahu iliyotolewa sadaka ya kuchinja na ikamwagiwa na maji mengi Sanaa [emoji16]
Jamaa alikua na visa Sana manabii wale wa mchongo walitumiwa na Jezebel wakaanza fanya maigizo Yao pale kumbuka wao hawakua na uwezo wowote Bali Jezebel akiwa karibu Ndio hufanya manuva kisiri na miujiza hutokea yaanii Ile trick na maujiko huenda Kwa manabii wa mchongo Ili Dili lisibumbuluke
Sasa siku hiyo walichukuliwa na kupelekwa mbali Sana yaani Leo watolewe dar wapelekwe mwanza kutenda miujiza na Jezebel hayupo anayewawezesha

Weeeeeeeee walipiga manyanga wapi!,imba imba Sana na kuvua Hadi nguo hakuna majibu mpaka jua linazama Elijah na mfalme Hezekiah wanawachora tu huku wanagonga popcorn na wine

Baasi mwishoni Elijah mtshibi akamwambia mfalme Hawa wahuni walikua wanakuibia tu na wanatumiwa na Mkeo ambae ni Shetan yule Jezebel kakuroga Ili akuibie dhahabu zako Sasa Kwa
Mbwembwe Elijah mtshibi akasimama Kwa sababu Annunaki ni high advanced technology akavuta siraha ya mionzi kama nyundo ya Thor Ragnarok
Akapeielekeza juuu ikatengeneza power na kitu kama radi Kali Sana akaishusha kuelekeza pale kwenye madhabahu kilichotokea Biblia imesimulia

Haloooo ule moto ulilamba Kila kitu yaani uliyeyusha mpaka mawe [emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Wote tunajua function ya mionzi ya radiation ilivyo bwana Kila mtu alipagawa na kusujudu Kwa Elijah mtshibi

Jamaa Kwa mbwembwe akawafyeka wale manabii wa mchongo wa Jezebel na mfalme akampa maujiko jamaa akasema twende Kwa Jezebel tukamtie adabu [emoji16]

Jezebel aliposikia taarifa za Kile kitendo Cha jamaa kuunguza Dili lake alimaindiiiiiiii unajua hasira za wanawake Broo,haaahahahaaa
Jezebel si alikua Goddess queen aliapa kumfyeka Elijah mtshibi maana alikua mwanamke wa shoka mwenye ujuzi wa hatari Ile radi ya Elijah mtshibi haikufua dafu Kwa Jezebel yaani jamaa japo ni WA kiume ila mbele ya Ile pisi ya kianunnak ni mchumba tu

Kwani Bible inasemaje kilichofuata?

Elijah mtshibi alikula ndukiiii mpaka kwenda kujificha mapangoni huko aligongwa na njaa mpaka akaomba msaada Kwa wa msosi yaani alituma signal Kwa wenzie akatumiwa kunguru apeleke msosi Kwa Elijah mtshibi
Huyo kunguru hakua kunguru kama unavyoelewa wewe ila ilikua ni mfumo wa drones ambao umekaa kama Eagle [emoji1659] hivi Ndio jamaa akapata msosi ila msako unaendelea kwake Jezebel hakukubali daaa
Elijah mtshibi alikua na vijakazi wake wa hapa hapa Duniani na pia alikutana na Annunak mwenzie aliekua mshirika wake
Jamaa alivyoona so Sana na karokoroga akaenda sehemu walipoficha invisible Spaceship yake akazama akaifungua code ikaonekana machoni pa wanadamu maana aliens huzificha spaceships kwenye 5D dimensions kutokana na teknolojia kubwa
(Angalia movie ya Eternal pale watchers wanashuka Mesopotamia mwaka 500 BC na Lile spaceship kupambana na Divients)

Ndio utajua Nini namaanisha jamaa akaliwasha dude likasepa Kwa speed ya radi Kali Sana angani na kupotelea

Sasa pale ndipo wale waliokua vijakazi wake wakasema AMEENDA MBINGUNI KWA GARI LA FARASI NA MOTO!

Kumbe ni Spaceship UFOs!

Haya mambo yalianzia kitambo Sana ukisoma Kwa Akili ya kawaida huwezi elewa ila Kwa sisi tuliosoma accient tablets za Summerians tunaelewa nini wanamaanisha!
Ndio hivyo mkuu
hearly
[emoji16][emoji16][emoji16] Asante Sana , haya ndio mambo ya Mudi kapaa kaenda mbinguni kukabidhiwa sala 5 na kurudi usiku huo huo kumbe waweza kukuta jamaa alikuwa mtaalamu wa meditation akafanya tele Nini sijui wa Asia wanaita, sikumbuki jina vyema nadhani unaijua hiyo njia
 
hhahaaha Mkuu Ile skrpt ya mud kwenda Mbinguni ni ya mchongo Ile Ile scene iliandikwa na mapadre watano walioasi Catholic na Ili kuepusha mjadala na mtu mwenye Akili timamu wakampa mtu asiyejua kusoma Wala kuandika na kuita muujiza

Vatican created Islamic religion!
 
Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..?

Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi tunaweza kutambua siri kadhaa za ulimwengu!!.

Inamaanisha hesabu ni lugha ya ulimwengu so ni vile tu tunavyoweza kuitumia ili itupatie majibu sahihi,Pia nimeweza kuona hata yule injinia wa maswala ya umeme alishawahi kusema namba 3,6 na 9 ni funguo za ulimwengu!!!! By Nikola Tesla. Kwanini Nikola alinena hili..?

Swali langu ni kivipi na je,imeshawahi kufanya hivyo kutufunulia siri za ulimwengu..?
Kama zipo naombeni na mifano!.

Katika fikra zangu chache niliweza kufikiri kuhusu hili ila niliona kama ndio inawezekana japo sina hakika ila chaajabu nilikuja kuona kama hesabu zetu still zipo very low!

Msiulize kwanini maana bado nina Loading..😅
Yani nachoona kama still Kuna kanuni fulani hivi hatuzijui na ndio maana hata hesabu zetu kama zipo very low!.. hii ikanifikisha hadi kwenye fikra za kujiona kuwa sisi ni high intelligent ila nikaona sisi ni kama punje tu ya intelligent iliyopo ulimwenguni!.

Nahisi bado tuna safari ndefu mno ya kuisemesha lugha hesabu hadi itupatie majibu!.

Nimechokoza mada karibuni mnielekeze kuhusu hili..
There is a number between 3 and 4
 
Back
Top Bottom