Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Kumbe uchaguzi ni Leo?
Ndio, na huku kwetu unaendelea kwa utulivu na hali ni shwari kabisa.
Hakika Magufuli baba lao, Jafo baba lao na nanihii chama letu!
mayor_bonifacejacob___B5PaOUZldgm___.jpeg
 
Mikoa mitatu ya Katavi, Ruvuma na Tanga ambapo Wagombea wake katika vyama mbalimbali walipita bila kupingwa
Wagombea katika "vyama mbali mbali" walipita Bila kupingwa😝😝😝😝😝😝😝😝mnaonea aibu kivuli chenu bwana jafo?
 
Hata moto uliounguza msitu wa amazoni ulianza kwa cheche tu.
 
Nipo mbezi kwa msuguri hakuna uchaguzi unaendelea mgombea kapita bila kupingwa
 
Sasa si tuliambiwa wananchi watashiriki kwa shwangwe na wameitikia wito hiki ninachokiona ndio nini jamaa hapendwi au ni kitu gani. Ivi 2020 upinzani ndio utatoa rais wa jamuhuri kweli.
 
Uchaguzi Ni Leo? Tusubirii Marudioo Maana Wale wa Vyama Pinzaniia Si hawatambuliki kwenye Chama Chao So Wakishinda Watavuliwa Uanachama wakivuliwa Uchaguzi Utarudiwa Halafu Wanaotaka kupita bila kupingwa Watapita

Shame On Us Tanzania.
 
Mchungaji Erasto amevipongeza vyama vyote vya siasa kwa ustaarabu waliouonyesha katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Katika uchaguzi wa kumtafuta mbunge wa Kinondoni baadhi ya vyama vilionyesha ukorofi uliopindukia lakini katika uchaguzi huu hali imekuwa shwari kabisa, amesisitiza.

Sasa niwaombe wananchi turejee kwenye Hapa Kazi Tu kwani mambo ya uchaguzi yameshakwisha, amemalizia mchungaji akiwa ibadani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom