yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Hawana kelele si maiti haoWatu tumepiga kura tumetulia nyumbani nyie Endeleeni kujifariji mitandaoni
Wapiga kura wa kweli wala hawana kelele
Kama nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana kelele si maiti haoWatu tumepiga kura tumetulia nyumbani nyie Endeleeni kujifariji mitandaoni
Wapiga kura wa kweli wala hawana kelele
Kama nyie
Ndio, na huku kwetu unaendelea kwa utulivu na hali ni shwari kabisa.Kumbe uchaguzi ni Leo?
Wagombea katika "vyama mbali mbali" walipita Bila kupingwa😝😝😝😝😝😝😝😝mnaonea aibu kivuli chenu bwana jafo?Mikoa mitatu ya Katavi, Ruvuma na Tanga ambapo Wagombea wake katika vyama mbalimbali walipita bila kupingwa
Wanajimwambaf kuna mjinga mmoja anaporojo sana humu akishashiba makande ya lumumba kwamba kuna foleni za kufa mtu.View attachment 1270974View attachment 1270975View attachment 1270976
Wanajimwambaf kuna mjinga mmoja anaporojo sana humu akishashiba makande ya lumumba kwamba kuna foleni za kufa mtu.View attachment 1270974View attachment 1270975View attachment 1270976
CCM imeshuka thamani na kufikia bei ya utumbo! [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni Mtanzania mzalendo, Siwezi kuitukana Serkali
Nyie mnaotumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi siku zenu zinahesabika
Asipofukuzwa atajionea aibu ataomba kujiuzulu. Huwezi kuendesha uchaguzi kisha wapigakura wasifike milion moja. Ni lazima uone aibu ujiondoe mwenyewe.
[emoji3][emoji3] mpo vizuriNdio, na huku kwetu unaendelea kwa utulivu na hali ni shwari kabisa.
Hakika Magufuli baba lao, Jafo baba lao na nanihii chama letu!View attachment 1271053
Lakini mitaa imejaa mashimo tupu hakuna anayeliona hiloKimara hakuna kupiga kura wagombea wote wa CCM wamepita bila kupingwa Hivyo wanasubiri kukabidhiwa Ofisi Jumanne.
Nipo jirani na wewe hapa Tanganyika Packers. Foleni inatisha, nimeamua niende kanisani kwanza.
rais mwenyewe kaona hilo ni zoezi la kipuuzi sembuse wewe mjinga mjinga tuWatu tumepiga kura tumetulia nyumbani nyie Endeleeni kujifariji mitandaoni
Wapiga kura wa kweli wala hawana kelele
Kama nyie