Broo acha hizo. Watu watakucheka na huo mfano wa kijinga.Watanzania kulalamika Ndio zao
Hata ukiwapa chakula watasema hakina chumvi
Wewevuna kazi kweli ndugu, yani una porojo kweli kweli kila uzi upo mbele kuitetea ccm, pole sana. Waambie hayo mafisi wenzako waache uchaguzi uwe huru kila mtu asimamie anachokiamiani.Watanzania kulalamika Ndio zao
Hata ukiwapa chakula watasema hakina chumvi
mbona hii picha ya mwisho ni uchaguzi mkuu maana hilo daftari ni la nec lililobandikwa hapo. picha ya zamani hiiWanajimwambaf kuna mjinga mmoja anaporojo sana humu akishashiba makande ya lumumba kwamba kuna foleni za kufa mtu.View attachment 1270974View attachment 1270975View attachment 1270976
Nchi nzima kuna kipindi viongozi wetu hawataheshimika duniani kama tulivyokuwa huko. Viongozi wanaopatikana Kwa njia hii ni wwnafanana au wako sawa na wale wanaopatikana Kwa njia za mapinduzi Kwa njia ya mtutu, hawaheshikiKwahiyo iliyoharibika ni CV ya Jaffo au ya CCM?!
Kwa bahati mbaya Mh. Jaffo na CCM wote hawana raha na ushindi wa uchaguzi huu unaofanana Sana zile zilizosababisha ASP ishike mapanga dhidi ya mwarabuKwahiyo iliyoharibika ni CV ya Jaffo au ya CCM?!
Suala la kupiga kura ni la kitaifa. Ulitaka asemeje?Yaani ni kitu cha kusikitisha sana leo niko kanisani Padre ninayemheshimu sana eti anahamasisha waumini wakapige kura eti kutopiga kura ni dhambi najiuliza wakati watendaji wanakimbia ofisi na kukata majina ya upinzani walikuwa wapi wasikemee hayo? Watuache sisi tumekataa hatuendi kupiga kura wao wawaweke hao wateule wao wa ccm.
Endelea kuota mkuu. Tena sema asilimia mia kabisa, lakini ujue kwamba baada ya tarehe 24/11/2019 vitongoji, vijiji na mitaa asilimia mia itakuwa chini ya CCM.
Wala hilo usijali. Nanukuu msemo wa DC wa Gairo, watawaletea, "MAENDELEO FASTA KWA MWENDO MDUNDO"!Yeah, then waje watuonyeshe maendeleo! Maana wimbo wao ni kwamba wapinzani wanakwamisha shughuli za maendeleo
Dharau hizoKumbe leo ni siku ya uchaguzi?