Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Yaani hawa jamaa raha sana. Mimi nimechili tu hapa wananipa taarifa wao.
Dunia nzima inafuatilia jf ili kupata ukweli kuhusu uchafu unafanyika kwenye uchaguzi huu , kwa lengo la kuchukua hatua maridadi kwa awamu ya 5 , baada ya kulijua hili ndio maana tupo hapa ili kuanika kila uchafu ili mabeberu wanaoleta ARV ambazo ndio zimeshika uhai wa 95% ya viongozi wa sasa wajue .
 
Kama sadaka umetoa malalamiko yako ni sawa na kujilisha upepo!
 
Dunia ya ufipa labda...endeleeni kutupa taarifa makamanda. Mnafanya kazi nzuri.
 
Laana ya dhuluma zilizofanywa na sisiemu. Toba pekee itakayokubalika ili nchi ifunguliwe ni kuiondosha sisiemu madarakani.

Sisiemu inasimamiwa na mkono wa kuzimu. Kuzimu hakujawahi kumpa binadamu faraja wala maendeleo.
 
Member wa miaka mingi sana! I use to see your comments! since then leo ndio ninakuona tena! Either umeadimika ama mimi nimekuwa sio mfuatiliaji. Happy to see you here mkuu[emoji2]
Hahaaaa umenifurahisha sana, nipo Mkuu tunasoma tu sasahivi tunapita kushoto kuleeeee, nice meeting you Revolution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…