Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Awamu hii unaweza ukajikuta upo na chatu wa CHATTLE au Msitu wa Mabwepande lazima uende mdogo mdogo.Member wa miaka mingi sana! I use to see your comments! since then leo ndio ninakuona tena! Either umeadimika ama mimi nimekuwa sio mfuatiliaji. Happy to see you here mkuu[emoji2]
Wewe na nani, samahani naomba usinitag sawa ebooh..!Sisi tumepiga kura
Nyie keyboard worries mmeishiwa hoja na wala sio wapiga kura
Hongereni Ccm kwa kuwabwaga Wapinzani wenu
hicho ni moja ya kituo je umepitia vituo vingap usituaminishe kwa majibu ya kituo kimoja
Jioni hii Polisi Iringa wanazunguka na nagari ya washawasha na askari walio sheheni silahaWasimamizi wa uchaguzi wakisubiri wapiga kura katika kituo cha Maumba kilichopo mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace #MwananchiUpdatesView attachment 1271246
Uchaguzi kwa kwanza kabisa ambao mwenyekiti wa CCM Taifa ameuona ni kituko kwa ujanja wake, kukwepa hilo nae kaingia mitini hajapiga kura kaja na tukio lingine, yaani kupokea gawio ameona ni kubwa kuliko kupiga kura, kachimba shimo la kufukia adui kajifukia na yeye.
Jioni hii Polisi Iringa wanazunguka na nagari ya washawasha na askari walio sheheni silaha
Huo sasa utakuwa ni uchafuzi badala ya uchaguzi anatumwa mtoto?
Dah! nimecheka sana.Hii Ndio demokrasia na Amani
Wasimamizi wapo nje hawana hofu
Haya mnayoyafanya ipo siku isiyojulikana ninyi ccm mtakuja kulipa kwa damu!Hii Ndio demokrasia na Amani
Wasimamizi wapo nje hawana hofu
Hongera kwa JafoMkoa niliopo hamna uchaguzi,Halmashauri zote wagombea wamepita bila kupingwa.