Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Msanii,
Tupeni mrejesho kwa vyama vilivyoshiriki na kwenye uchafuzi kati ya CCM,ADC(walioweka wagombea 80 nchi nzima) na TLP(walioweka wagombea 10 nchi nzima),vyama vingine vilivyoshiriki uchafuzi hawana wagombea ila hawajajitoa.
 
Member wa miaka mingi sana! I use to see your comments! since then leo ndio ninakuona tena! Either umeadimika ama mimi nimekuwa sio mfuatiliaji. Happy to see you here mkuu[emoji2]
Awamu hii unaweza ukajikuta upo na chatu wa CHATTLE au Msitu wa Mabwepande lazima uende mdogo mdogo.
 
Atajifunza na kuwaelewa watanzania kuwa uvumilivu una mwisho wake
Uchaguzi kwa kwanza kabisa ambao mwenyekiti wa CCM Taifa ameuona ni kituko kwa ujanja wake, kukwepa hilo nae kaingia mitini hajapiga kura kaja na tukio lingine, yaani kupokea gawio ameona ni kubwa kuliko kupiga kura, kachimba shimo la kufukia adui kajifukia na yeye.
 
Back
Top Bottom