Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Kwahiyo leo hadi viongozi wamesusia kupiga kura ?
hata rais,waziri mkuu,na mawaziri hawajaonekana vituoni wakipigwa kura,,hii hali siyo ya kawaida haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru
 
Haa😁😀😂😃😄😄😅
Wasimamizi Wa Uchaguzi Wamekaa Kama Madume Ya Mavi Ya Mbuzi/Jokeri

Jioni Mtangaze Aliyeshinda Alikuwa Anashindana Na Nani?
Demo Ghasia
 
Wazee TBC live leo wamekosa cha kurusha mbali ya kampeni yao kubwa sana mikoa yote kutuaminisha kila kitu kipo sawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…