Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Kwahiyo leo hadi viongozi wamesusia kupiga kura ?
hata rais,waziri mkuu,na mawaziri hawajaonekana vituoni wakipigwa kura,,hii hali siyo ya kawaida haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru
 
Mamia ya watu walionekana mtaa wa jirani wakipiga kura kwa raha zao kama inavyoonyesha pichani
mayor_bonifacejacob___B5PaOUZldgm___.jpeg
 
Haa😁😀😂😃😄😄😅
Wasimamizi Wa Uchaguzi Wamekaa Kama Madume Ya Mavi Ya Mbuzi/Jokeri

Jioni Mtangaze Aliyeshinda Alikuwa Anashindana Na Nani?
Demo Ghasia
 
Wazee TBC live leo wamekosa cha kurusha mbali ya kampeni yao kubwa sana mikoa yote kutuaminisha kila kitu kipo sawa .
 
Back
Top Bottom