Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Hii id ina watumiaji kama 10. Wanakuwa wote online, wakiposti upuuzi upuuzi
Hamna kitu kama hicho Lumumba....huyo Kawe Alumni ni kijana tu anajitolea. Ni muda tu nae atapotea !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii id ina watumiaji kama 10. Wanakuwa wote online, wakiposti upuuzi upuuzi
Hahahaha ujue wewe l.ofa unaniachaga hoi sana,yaani umekuwa Kinyago cha kumchekesha mfalme Jiwe
Mlizani hii aibu yenu itabaki siri?Endeleeni kutujuza kamanda... nilidhani mmesusa kwa jumla kumbe utoaji taarifa mnaendelea...
Nonsense. Wewe hapo umeandikaje bila kutumia hiyo keyboard.Sisi tumepiga kura
Nyie keyboard worries mmeishiwa hoja na wala sio wapiga kura
Wewe 24 hrs kila thread upo unalipwa sh ngapi,aibu sana aisee
hata rais,waziri mkuu,na mawaziri hawajaonekana vituoni wakipigwa kura,,hii hali siyo ya kawaida haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru
Chadema hamtamsahau Jafo!Wasimamizi wa uchaguzi wakisubiri wapiga kura katika kituo cha Maumba kilichopo mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace #MwananchiUpdatesView attachment 1271246
Mlizani hii aibu yenu itabaki siri?
Niliambiwa na Dr bingwa wa [emoji115] magonjwa ya akili kuwa ukiona mtu yupo CCM ujue akili yake imefyatuka kabisa kwa mara ya kwanza nimeamini leo
Chadema hamtamsahau Jaffo!