Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Yule mzee Wa kiraracha wangemuachia apite bila kupingwa japo ili kuwaadaa watoa misaada ili angalau kiwadanganya kuna demokrasia
 
Wananchi tushaamua kuikataa ccm na sasa tumewaonyesha kwa vitendo
Ina wezekana hawa hawakujua kwamba shughuli ilisha malizikia kwenye ngazi ya uteuzi. Kinacho fuata ni matumizi mengine mabaya ya maneno ya mungu kwa kisingizio cha kuapa.
 
Sasa kama vyama pinzani vilijiondoa, wakabaki ccm wenyewe, hiyo 0.1% ilienda wapi? Ina maana wana ccm wenyewe hawaitaki ccm
 
Chama Cha Mapinduzi kimeibuka Kidedea katika Vijiji 12,260 sawa na Aslimia 99.9, pia kimeshinda katika Mitaa 4263 sawa na Asilimia 100, huku kikijinyakulia Vitongoji 63,970 sawa na Asilimia 99.4. Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…