Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina wezekana hawa hawakujua kwamba shughuli ilisha malizikia kwenye ngazi ya uteuzi. Kinacho fuata ni matumizi mengine mabaya ya maneno ya mungu kwa kisingizio cha kuapa.
Hata wanaccm wamesusa nao tulitegemea waje wengi
Sikuona TV pendwa kama alikwenda kupiga kuraHii habari ni mbaya kwa mwenyekiti wao kwani alikuwa anadanganywa kuwa anapendwa sana
Sikuona TV pendwa kama alikwenda kupiga kura
hadi ccm nao wamesusa kujipigia kura?
Wacha masikhara.
Kushindana wenyewe sijui wangapi wamepiga kura
Mnatupa bomu mochwari alafu mnajisifu mmeua....!!!!!