state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
Acha uongo. Oicha siyo ya uchaguzi huu unaoendea
Jafo atafukuzwa kazi baada ya huu uchaguzi. Mark my words.
leta ya uchangizi unaoendeleaAcha uongo. Oicha siyo ya uchaguzi huu unaoendea
Asipofukuzwa atajionea aibu ataomba kujiuzulu. Huwezi kuendesha uchaguzi kisha wapigakura wasifike milion moja. Ni lazima uone aibu ujiondoe mwenyewe.Endelea kuota mkuu
Hiyo ilikuwa ya uchaguzi upi.Acha uongo. Oicha siyo ya uchaguzi huu unaoendea
Mimi ni Mtanzania mzalendo, Siwezi kuitukana Serkali
Nyie mnaotumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi siku zenu zinahesabika
Anaye takiwa kumfukuza ndo aliye mtuma. Mara hii umesahau ya NDUGAI na ASSAD???Jafo atafukuzwa kazi baada ya huu uchaguzi. Mark my words.
Nipo hapa foleni ni kubwa mno
Kinamama wanafuraha hapa kina baba wametulia
Vijana pia wapo kwa wingi mno
Nitaleta picha