Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Nimepiga picha yangu mtaa wa uzunguni Dodoma sasa namsikiliza Magufuli

State agent
 
Kwenye huu uchaguzi wa ccm vs kivuli kura moja inatosha kumpata mshindi...bila shaka umetuwakilisha vyema.
 
IMG_20191124_101432.jpg
 
Nimeenda kupiga kura aisee mida ya saa tano hivi nimekuta bonge la kufuri alafu kuna mgambo nasema hakuna uchaguzi mgombea kapita bila kupigwa

Duuuh hili ni jambo hatarishi sana mana pale watu walikua wanakuja kupiga kura
 
Uchaguz kwani upo ? Make nakumbuka vyama vya upinzani viliiachia chama tawala
 
Upinzani wanatakiwa wa jifunze.
Kuwa ukisusa mwenzio nae anasusa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom