Francisco Mkemwa20
New Member
- Nov 22, 2019
- 1
- 0
Uchaguzi huu ndio umeisha.Tujiandae na uchaguzi wa 2020.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasinge kunyang'anya pengine uasingekuwa mbumbumbuView attachment 1272735
Naona unànena kwa kibwengu. You're mentally sickWamejitoa harafu wanakwenda kuangalia matokeo ,huu ni ujinga walijitoa harafu wanataka wapate 50% ujinga wa wapi
State agent
Acha tuendelee kukuna Nazi ndo kazi tunaweza "wanaume wa chama gume"View attachment 1272728
"Harafu" ndo vitu gani??jifunze kuandika kwanza ndo uje kutoa pumba humu!Wamejitoa harafu wanakwenda kuangalia matokeo ,huu ni ujinga walijitoa harafu wanataka wapate 50% ujinga wa wapi
State agent
Sisi tumepiga tu kura hatuangalii upo au umejitoa...Hii ni historia mpya na ya kipekee katika taifa letu.
Wale akina Augustino Lyatonga Mrema waliofanya kampeni za uchaguzi eti wameambulia 0% na hawa akina Chadema na Cuf ambao walitangaza kujitoa ndio wamepata ushindi wa 0.1%
Tanzania tuna mambo ya kujivunia mengi.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Chadema na Cuf wameshinda vitongoji vya Kenya?!Kwani mlikuwa mnashindana na nani jamani ccm mbona siwaelewi mm
Acha hizo. Kazi na ziendelee kama kawaida.CCM mmesimikwa kidikteta. Kila mtu anajua hamkuchaguliwa kihalali. Rais Magufuli anawagombanisha na wananchi wenu. Na nyie viongozi mlioteuliwa na kusimikwa kidikteta, nyumba mtakazolala zitakosa amani. Mtashindwa hata kuwaeleza jambo lolote wananchi. Labda mjiuzulu mapema kabla hamjaionja shubiri ya nguvu ya uma