Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara


Wakivunje tu hiki chama...we are tired...
 
Huyu ndo kuna kipindi aliingia mgogoro na Mwita Waitara?Kisa Mwita alijua Wambura ana mpango wa kugombea ubunge Tarime. Hata hivyo 2025 jamaa atagombea.Mwita ajiandae kulia.
Pesa imeongea hapo. Waitara hana chake.

Ila bado nashangaa kwanini ajiingize kwenye siasa wakati ana kila kitu?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yaani Tanganyika ni kama Kenya tu.Wakristo ni wengi kuliko waislamu.

Tanga, mtwara, Lindi, pwani, ( hapo majority ni muslimus) Dar wako karibu nusu kwa nusu mikoa mingine yote majority ni wakristo yaani uislamu utaukuta either wilaya moja tu mfano tabora ni mjini, kigoma ni mjini, lakini ukweli ni huo na njoo kwenye sensa uone hiyo mikoa ambayo majority wakristo utapata jibu rahisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…