Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Tuanzishe kampeni hapa tuhesabiane tuone nani watapinga

Wala hauna sababu ya kampeni anza hivi kabila lenye watu wengi tanzania ni wasukuma wanacover mikoa karibu mitano, halafu kabila linalofuata kwa idadi ya watu ni waha hawa ni sababu ya kuzaliana sana , haya njoo makabila ya mikoa mingine utanipa jibu ya uislamu na ukristo wako kwa sample ndogo hiyo
 
Tajiri wa kweli haridhiki. Si unakumbuka enzi zile Diallo ?Alivyokosa nafasi serikalini biashara zikayumba.Kuna raha yake kuwa tajiri na huku una vyeo vya kisiasa. NEC unakaa kikao na Rais ,hata ukiwa na jambo lako unaweza muambia ana kwa ana.
Hapo nimeelewa, basi tutafute hela ili miaka 10 inayo tuweze kaa viti virefu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yap ni Kama tu Kenya ilivyo Mombasa,Lamu ,Malindi kwingine kote ni christians.

Ndio maana uliona samia alivoingia alitaka kuanza kutosalimia wakristo juzi kwa wasabato kapiga bwana yesu asifiwe vizuri tu maana upande mmoja wakihisi unawatenga huyoongoza vizuri, magufuli alikua anakanyaga kanzu anaingia misikitini walau kiongozi kubalance mambo
 
Bado na tafakari mawaziri wetu kupitwa kura na Dkt Kasheku Musukuma. Hoi ni bahati mbaya au Kuna kitu kinaatengenezwa
 
Hivi mpaka lini ndo mtaamini kuwa kanda ya ziwa yote wajumbe ni wengi. Hata Tabora tunaiweka Ziwa .
Kanda ya ziwa utarukaruka ila utaelewa kuwa ndo kanda yenye nguvu! Si umeona Makamba kapitwa kura mpaka na akina Musukuma na Gwajiama! Ndoto za huyu Bwana mdogo zipo mashakani sana kadri miaka inavyoenda ndo atazidi kuangukia pua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…