Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Yap ni Kama tu Kenya ilivyo Mombasa,Lamu ,Malindi kwingine kote ni christians.

Ndio maana Akina aisha jumwa au junet mohamed nao wanatinga kanisani maana hao ndio majority yaani uislamu east africa kiukweli haukuenea sana. Toka ukoloni na sample ni hizo
 
Waha umewaonea kwa kweli
 
Bado na tafakari mawaziri wetu kupitwa kura na Dkt Kasheku Musukuma. Hoi ni bahati mbaya au Kuna kitu kinaatengenezwa
Hapana kwanza hao akina Makamba basi tu pamoja na kupigiwa kura lakini unaona kabisa ushawishi wao unazidi kudorora pia wanachi hawataki kabisa kusikia ujinga wao na huu uchaguzi ni ujumbe tosha kwao kuwa hata wanachama hawaridhishwi na mambo yao!
 
Waha umewaonea kwa kweli
Wewe acha uongo hao Waha wawazidi Wahaya,Wachaga na Wanyakyusa kwa wingi au unatumia takwimu gani? Likini pia naona hakuna Muha hata mmoja aliye shinda! Baruani Muhuza wa azam amefurukuta lakini kaangikia poa! Mnaongea sana Waha ndo maana wengi wenu ni machawa!
 
Bashungwa kua mkatoliki na waziri mwandamizi na kutuliza kwake kichwa na kutokua na mambo mengi anafaa kua waziri mkuu 2025 hadi 2030 , naamini mamlaka zinaona zenyewe
 
Vunja bei kapata kura 15,anafikiri ustar wa.instagram ndo kwa wajumbe.
Watu wa insta na YouTube channels walimjaza ujinga...eti wanamwita very smart ...kazungukwa na mediocre...akihojiwa akajibu simple question wanasifia Hatari.,..I think now kapata lesson ambayo nina uhakika kailipia pesa mingi ili ajue nafasi yake katika jamii ambyo ni kuwa mchuuzi wa kimataifa...aende china anunue pamba iliyochakatwa na alete Kariakoo auze mpaka siku atakayoweza kupereka Pamba china na kurudi na jeans...aje tena kujaribu...as for now aendelee TU na uchuuzi
 
Ankoli umeshupalia kinomanoma
Umeanzisha uzi na hujaridhika bado unataka kuharibu uzi wa mwenzako![emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Bashungwa akiwa waziri mkuu, makamu wa rais au Rais, sitashangaa

Yule kanda ya ziwa magharibi anakubalika anzia kigoma kwa watani zake, usukumani kwa mama yake hadi kagera kwa Baba yake, na ni mseminari mtulivu sana hana papara binafsi hua namuona ni kiongozi alituliza akili na kutumikia wizara nyingi tayari ni mwandamizi na yuko royal kwa viongozi wake wakuu tena sio kuigiza na hana makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…