Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,ninajua mzee wa tozo kazidisha.Ametembeza mpunga mwingi kumzidi Mzee wa tozo?
Hata page Instagram hana.Kina Makamba Urais wasahau. Kwanza wajumbe kanda ya ziwa hawatawapa kura kwenye tano bora,kwenye tatu bora.Huyo jamaa aliyeongoza ni muuza mistimu Njombe. Huyo mwingine hata uki mgoogle huyupo. Kina Mwigulu wana mengi ya kujifunza.
Wassira atawafaa sana kwenye mipango yao. Si Lukuvi.William Lukuvi kakwama baada ya miaka 20+ ya kuwa mjumbe.
Kama naona kikao cha genge la wahuni kuelekea mkutano mkuu Lukuvi si anataka uraisi yeye badala ya kulamba asali na kutulia; tumtoe.
Mwenzake mzee Wassira kama Mwigulu anaenda na upepo mtumbwi ukitoboka tu wanakamata mabaya wale twarukia upande mwingine.
Uzalendo wa CCM ni kwa mwenyekiti tu sio nchi.
Haswa Wagalatia wa JF.Hapo Wagalatia mioyo imetuliaa,
Unaona mbali sana mkuu. Kuna mtu amewahi kuleta andiko humu aliandika vizuri sana kuhusu Leonard Mahende.Hata page Instagram hana.Kina Makamba Urais wasahau. Kwanza wajumbe kanda ya ziwa hawatawapa kura kwenye tano bora,kwenye tatu bora.
Really!?... Sikujua kama ni muhaya... Ahsante kwa Taarifa.Mutamwega Mugahiwa Bhati
Kuwasaidieni, katika Sekeritariat, head wa department katika CCM lazima uwe mjumbe wa NEC aidha kwa kuteuliwa au kuchaguliwa. Hivyo anahalalisha ule aliopewa wakati huoLabda ataondolowewa ukatibu mkuu msaidizi.
kabisa yaani ila hapa tujifunze kitu kwahawa ndugu zetu ikiwa kwao sawa ikiwa kwa wengine shidaLeo kimyaaaa !! kumetulia kama maji mtungini , Si kama wiki iliyopita kwenye matokeo ya uvccm
Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Nimecheka mno hii mkuu😀Nakupa siri, usimwambie mtu. Hapo hakuna nobody. Hao ni "umeme gang".
Huyo namba moja mahenda ni tajiri sana wa nguzo za umeme iringa na anayo kampuni yake ya masuala ya umeme na nguzo inaitwa Qwihaya. Hao wengine inasemekana ni watu wa "wazito". Usimwambie mtu lakini.
Ni wale wale tu
Hapana,ninajua mzee wa tozo kazidisha.
Ndio maana kwenye jumuia kila kikao lazima atokee mmoja amtaje MAMA kwa ubayaaaaaa!¡!!! nilikuwa sijastuka, hasa nikikumbuka tulivyokuwa tumebanwa na mkatoliki 'yule' lkn sasa imekuwa ghafla ni ati alikuwa bora.Only ni kwasababu waislamu hawana kawaida ya kupiga kura kidini. Ni wajenzi kamili wa amani na ustarabu kidogo unaouona Tanzania.
Unataka kusema watanganyika wote ni wakristo.Kwanza nata wote walitakiwa wawe wakristo afu waislam watatoka Zanzibar.
Ndio.. Huyo loyal kid wa "geshi" ametoa pesa ya kutosha na kupitiliza.
Kuna watu wametoa nyingi lakini mapokezi yamekuwa hafifu... Kipara to be specific.
Nakusalimu.
Ya KatelefoneBashungwa +ukatoliki wake. Nahisi kuna nafasi ya juu zaidi anaandaliwa.
Next Prime Minister or PresidentBashungwa +ukatoliki wake. Nahisi kuna nafasi ya juu zaidi anaandaliwa.
Usiwe mbwigaPigo kwa sukuma group( gang)
Kwasababu manara yupo yanga ndio amekuwa wa ovyo?Vunjabei sio kijana wa hovyo kuliko niliowataja.
Sukuma gang sio kabila ni ideology we mbwiga mwenzangu.Usiwe mbwiga
Sukuma gang imechukua viti 7 Kati ya 20