Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Kama ni mtaalamu wa namba na udadavuzi wa takwimu namba 8,9 na 11,12 lazima utie shaka uhalisia wake...zote zinapishana kwa 2 na haziendani na mtiririko wa matokeo ni kama zimepachikwa hivi...
 
William Lukuvi kakwama baada ya miaka 20+ ya kuwa mjumbe.

Kama naona kikao cha genge la wahuni kuelekea mkutano mkuu Lukuvi si anataka uraisi yeye badala ya kulamba asali na kutulia; tumtoe.

Mwenzake mzee Wassira kama Mwigulu anaenda na upepo mtumbwi ukitoboka tu wanakamata mabaya wale twarukia upande mwingine.

Uzalendo wa CCM ni kwa mwenyekiti tu sio nchi.
Wassira atawafaa sana kwenye mipango yao. Si Lukuvi.

Ni sawa na paka kumtunzia panya karanga, ili badae aje amuuzie.
 
Leo kimyaaaa !! kumetulia kama maji mtungini , Si kama wiki iliyopita kwenye matokeo ya uvccm

Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
kabisa yaani ila hapa tujifunze kitu kwahawa ndugu zetu ikiwa kwao sawa ikiwa kwa wengine shida
 
Nakupa siri, usimwambie mtu. Hapo hakuna nobody. Hao ni "umeme gang".


Huyo namba moja mahenda ni tajiri sana wa nguzo za umeme iringa na anayo kampuni yake ya masuala ya umeme na nguzo inaitwa Qwihaya. Hao wengine inasemekana ni watu wa "wazito". Usimwambie mtu lakini.

Ni wale wale tu
Nimecheka mno hii mkuu😀
😀😀
 
Only ni kwasababu waislamu hawana kawaida ya kupiga kura kidini. Ni wajenzi kamili wa amani na ustarabu kidogo unaouona Tanzania.
Ndio maana kwenye jumuia kila kikao lazima atokee mmoja amtaje MAMA kwa ubayaaaaaa!¡!!! nilikuwa sijastuka, hasa nikikumbuka tulivyokuwa tumebanwa na mkatoliki 'yule' lkn sasa imekuwa ghafla ni ati alikuwa bora.
 
Back
Top Bottom