Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Na volume ya sphere wamekupa kule juu kama costaΓ±t sio..?Nimeliona, hapa ningedumbukia na option moja tu kwamba oil drop ilikuwa spherical in shape.
Baada ya hapo natumia kanuni ya volume ya sphere, vingine ningepunwa mapema.πΏ
Mara ya kwanza kukutana na pamphlet ya Mgote nilielewa kitu kimoja, sikuwa nimesoma chochote kuhusu projectile. Ukitoa definition na kanuni kuu tatu za Hmax, Tf, H.R, hapo nilianza kula pindi upya.Tism nili opt aiseee an formula zote zile..
Alafu projectile usiichukulie poa...
Ushawahi ona projectile ya mgote wewe
Form one hadi four ni elimu rahis sanaWatoto walikua hawasomi Wana syllabus nyingi.
Mitihani ya mwisho konki ulikua 2009 backwards..
Mimi nimesoma mwenyewe kwa kutumia syllabus ukiweza ku cover syllabus yote ikawa KICHWANI huwezi ku fail kidato Cha nne.
O-level hakunaga mitiani migumu period!
SEMA wanafunzi hawasomi na wanamambo mengi mitiani maswali yote yapo ndani ya SYLLABUS.
ACHA KUTETEA UZEMBE NA UJINGA KWA HAO WANAFUNZI UCHWARA.
I za kutosha, hakuna "shida" tena.Hakuna mtihani mgumu nyie mlikosa rasilimali wakati wenu.
Sema ndo hivyo mnapenda kujilinganisha na wa sasa ili mjisikie vizuri kuhusu hali zenu.
Halikuwa kosa lenu, uwezeshaji wa elimu nchini kwenu ulikuwa mbovu, hata mpaka sasa kwenye shule za serikali.
ChaiKuna mwanangu nilikuwa nategemea awe TO kwa mwaka huo, nilivyoskia matokeo yametoka kabla hata sijaangalia ya kwangu nikampigia kwanza kumuuliza yeye vipi, alijibu kinyonge sana kwamba amekula 1.9 nilikata tamaa ya kujiangalia mimi.
Kuanzia 2010, 2011 mpaka 2012 walimu walikua na Visasi vyao na Serikali na Wanafunzi sasa kulipa machungu ni kuhakikisha idadi kubwa ya Wanafunzi wanafeli ili Serikali ilipe stahiki za Walimu, kwa hio waliomaliza kuanzia 2010-2012 waliipata sio form 4 sio form 6 na pia kulikua na reform walimu wale waliokua wakisahisha zamani mitihani wote waliondolewa kuanzia 2010 wakaingizwa wapya ambao hawakuwahi kusahisha NECTA kwa hio kilichofuata maumivu tuhivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa?
Unasoma lakini sehemu pekee ya kupata vitabu ni maktaba ya mkoa. Mwalimu yupo ila anapiga pindi zito moja mnakutana mwezi wa saba baada ya kuwaacha tangu January.Watu mnajua kujitetea tuu ..et ooh mara material mara nini...
Show ilikua kali madude yalikua yanawakanda mabloo...
ππππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ikiwezekana serikali isahishe tena mm mwenyewe mpaka leo siamini mpaka leo marks nilizopata
Alafu mgote ile projectile yake kama hujui trig vizuri uwezi toboa..Mara ya kwanza kukutana na pamphlet ya Mgote nilielewa kitu kimoja, sikuwa nimesoma chochote kuhusu projectile. Ukitoa definition na kanuni kuu tatu za Hmax, Tf, H.R, hapo nilianza kula pindi upya.
Madogo wawili tu ndio walipata 1 ya saba. Said Juma Irando na Alex ElifasNa bado Kuna watu walipata Div 1 ya saba
ChaiKuna jamaa mkeka ulippgeuzwa na kuletwa mpya alilaani na anaendelea kulaani hadi leo, mkeka ulimtoa kutoka Div II na kumtupia kwenye Div IV ya uswesede.
Huu mtihani ulikuwa mwepesiWa 1992 paper yao hii hapa
Sijawahi kwenda library kusoma..Unasoma lakini sehemu pekee ya kupata vitabu ni maktaba ya mkoa. Mwalimu yupo ila anapiga pindi zito moja mnakutana mwezi wa saba baada ya kuwaacha tangu January.
Kuanzia 2010 ndio balaa lilipoanzia hapo 2013 kidogo machungu walikua wamepunguziwa kwa hio matokeo hayakua mabaya kivile ila 2010-2012 angalia matokeo ya form 6 utadataKuna ya form six 2013 nayo yalikuwa ya kipekee sana
Ulipata DIVISHENI ngapi?Watu mnajua kujitetea tuu ..et ooh mara material mara nini...
Show ilikua kali madude yalikua yanawakanda mabloo...
ππππππ