Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Chuchu saa 6
Wa hivi wabahili siwataki😁😁😁Mbona wewoooo 😹
Mambo ya 6 pack mkuu.!!
Binti Sayuni03 kuna mchumba huku kijana achana na wababa mdogo angu 🤣😹
Nakazia atalima nusu heka kwa 2hrsSafi kijana,kalime Sasa uko fit!
Ahahaha kaona watu hamjaona kifua humu wadada mnashuhudia vifua vya ndege kaleta chake mumfwate pmHataki mambo mengi, dunia yenyewe tunapita hii 😹😹
😹😹😹 Naye anazo si umeona hapo makava ya movie..!! Ana library anachoma nyimbo na movie za kutafsiri 🤣Wa hivi wabahili siwataki😁😁😁
Naomba ueleze zaidiUkitaka kuwa na mwili mzuri control chakula tu
Hata shamba,mashangazi yapo!
Unaichukua muda mzee mwili kuwa wa athleticPush up 200 kwa siku .Ndani ya mwezi ndio zitoe Matokeo hayo? Ulikua na mwili Gani Awali.? Vinginevyo labda ni push up za kike au za kama polisi.
Ajakataa kakosa adamadhara ya kukataa VETA
Kwahiyo anashusha nyavu 😹😹Ahahaha kaona watu hamjaona kifua humu wadada mnashuhudia vifua vya ndege kaleta chake mumfwate pm
Iko hana kwa halii iko hana atakuja hapa kukushushia uzi kabisa na chat za miamalaKwahiyo anashusha nyavu 😹😹
Kifua anacho tumekiona, je kifua cha kuvumilia akiliwa afu tatu pm anacho?
Hatutaki baadae atujazie seva hapaaaa.!! 🤣
Una Utovu wa Nidhamu
😹😹😹 Ila nimemiss nyuzi za waungwana wakilalamika kuliwa visenti vyao pm.!!Iko hana kwa halii iko hana atakuja hapa kukushushia uzi kabisa na chat za miamala
Hapo ndio goosebumps inapotokea 😃😃😃😃😃😃😃😃😃Kwahiyo anashusha nyavu 😹😹
Kifua anacho tumekiona, je kifua cha kuvumilia akiliwa afu tatu pm anacho?
Hatutaki baadae atujazie seva hapaaaa.!! 🤣
Kwamba Madaktari waongezeki MirembeTatizo la afya ya akili linazidi kuongezeka kwa kasi nchini
Wanaubavu lakini!Mashangazi wa shamba njaa kali
Pamoja na VETA lakini wale wanaondelea kuutafakari ule ushauri huku kazi hawana wanashauriwa ku-stick sana na mazoezi kwa sababu yenyewe yanasaidia kupunguza stress.Kuna haki waziri mkuu sema watu waende VETA.
kwaheriii 😂😹😹😹 Ila nimemiss nyuzi za waungwana wakilalamika kuliwa visenti vyao pm.!!