Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

Mpaka nimepaliwa na chakula 🙌🙌🙌ahahah
Kigezo cha kwanza cha jf ni kuwa anonymous, yeye anakuja kichwa kichwa, nyumbu kwenye mto wenye mamba anashindwa Kufikiria kuna siku anaweza fanya mistake ikam-cost baadae

Kitendo cha ku-expose tu picha yake humu inatakiwa awe makini na kauli zake sana
 
Watu wa humu wote ni wanafanya kazi masijala siku akianzisha ugomvi kujifanya anaijua jf mtu wa masijala anakuja na file lake mbele za watu
 
Push up 200 kwa siku .Ndani ya mwezi ndio zitoe Matokeo hayo? Ulikua na mwili Gani Awali.? Vinginevyo labda ni push up za kike au za kama polisi.
😂😂😂 Hata Mimi mwenyewe sipigi hivi, mbele ya usimamizi wa wale Fisi na Wavuvi Haram, 🤣🤣🤣 Unautani na Wapoti zao za kwenye godoro😂😂
Cc Fake P 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu mvivu anakufaa Manka.
 
Mwachiluwi ukiangalia kwa makini hapo kwenye profile yake nida yake umeandikwa 2004 so he is about 21 of age mdogo wetu tumsamehe tu
 
Attachments

  • Screenshot_20250320_204500.jpg
    Screenshot_20250320_204500.jpg
    166.8 KB · Views: 12
Back
Top Bottom