Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Mimi sio mwalimu wake 😂Msimamie vipengele vyote
Iko kichwa kukisimamia inahitaji uwepo
Mimi sio mwalimu wake 😂Msimamie vipengele vyote
Toa material mbali mbali.Mimi sio mwalimu wake 😂
Iko kichwa kukisimamia inahitaji uwepo
Why kiazi 😂Yaan kaona kuonesha tumbo halitoshi kaamua kupost na komwe lake kama kona ya kiazi
Ana kwama wapi mpka aonyeshe chuchu badala ya sixpark 😂Toa material mbali mbali.
Kesho kutwa atakuja na I'd nyingine kwamba ni Tajiri wa jf et🤔Umeona uweke na sura mkuu 😹
Hii wanaselfika tunaita naked hamna kona kona..!!
Mwezi ni mdogoUkiwa Serious na kila kitu Chakula na Mazoezi Mwezi tu mwili wa michezo unaonekana
Ulipata pakuegemea nitakuivisha. Au umemaliza kila kitu🤔😁🤣🤣🤣 Na ukikaa vibaya wewe na elfu mbili yako mnafata route wote. Mimi mgonjwa wa kudumu nilikimbia na P.O.P na Canula mwezi mzima😂😂
Kapigwa na kifusiBwana mdogo huko aliko kwa coment hizi nadhani anajuta kutupia picha humu! 😆😆
Cha Kariakoo kabisaKapigwa na kifusi
Dawati la ubishi Mimi sikai gabachori. Shinda Maumivu. KwaheriMwezi ni mdogo
Atajikuta anapatwa na ugonjwa poumbu jeroBwana mdogo huko aliko kwa coment hizi nadhani anajuta kutupia picha humu! 😆😆
Ndo ajipostDogo anatafuta mshangazi wa kumzagamua
Uho ugonjwa nilikuwa nawasemaga wenzangu wachafu shule siku ukaja nipata nikakausha kimya 😃Atajikuta anapatwa na ugonjwa poumbu jero
Text 134 hakuna ata aliojibuCha Kariakoo kabisa
Dah, mwanangu mimi ulinipata nikiwa Chuo Nikitaka kumzagamua manzi nilikua napiga aidha doggy style au tunazima taaUho ugonjwa nilikuwa nawasemaga wenzangu wachafu shule siku ukaja nipata nikakausha kimya 😃
Kijana kutoka Masasi, Mtwara. Kasahau kama Nida inatoa information nyingiMwachiluwi ukiangalia kwa makini hapo kwenye profile yake nida yake umeandikwa 2004 so he is about 21 of age mdogo wetu tumsamehe tu
Ahahah mbona unanikandia ivyo unataka chikandanga au kidodo? 😂Kijana kutoka Masasi, Mtwara