Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
Upo sawa kabisa.
 
Tungepata link ingekuwa vzr ili tujihakikishie tupe link mkuu
 
mie nnavyoijua badoo unajua ni mtandao wa Malaya
sijui kuhusu dating site

Hii unazungumzia Kwa watanzania?
Manake badoo inatumika dunia nzima
Badoo
Tinder
Twoo
Hitwe..zote ni dating site..

Kwa Tanzania hata telegram si mtandao wa wa kuuza uchi??Kuna kitu chochote telegram
Nje ya kuuza uchi Tz??

Mimi Hadi nikimuona mdada mtanzania ana account telegram inanipa maswali sana..
Wakati haipaswi kuwa hivyo
 
Okay! Wanafunzi wa chuo wana danga, wana jirahisi. Hii wengi wao kutoka na ukata wa maisha wawapo mavyuoni. Ila pia huwa kuna kuwa na chawa wao mavyuoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…