Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Badoo ni mtandao wa nini?
Angalia jibu LA Google (see the attached screenshot).

Screenshot_20201228-084722.png
 
Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
Upo sawa kabisa.
 
mie nnavyoijua badoo unajua ni mtandao wa Malaya
sijui kuhusu dating site

Hii unazungumzia Kwa watanzania?
Manake badoo inatumika dunia nzima
Badoo
Tinder
Twoo
Hitwe..zote ni dating site..

Kwa Tanzania hata telegram si mtandao wa wa kuuza uchi??Kuna kitu chochote telegram
Nje ya kuuza uchi Tz??

Mimi Hadi nikimuona mdada mtanzania ana account telegram inanipa maswali sana..
Wakati haipaswi kuwa hivyo
 
Kwenye tafiti za aina hii, moja ya Swali gumu kulijibu ni he wanafunzi wanaojiuza kwenye mitandao ni wahitimu/wanafunzi wa vyuo vikuu? Maana ni ngumu kuwa na vigezo ambavyo kwa asilimia 100 vitahakikisha kweli una exclude wasio wanachuo, unless uwaambie wakuonyeshe ID zao au vyeti (which does not make sense in this type of 'business' kuulizana vyeti)
Okay! Wanafunzi wa chuo wana danga, wana jirahisi. Hii wengi wao kutoka na ukata wa maisha wawapo mavyuoni. Ila pia huwa kuna kuwa na chawa wao mavyuoni..
 
Back
Top Bottom