Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Wee jamaa mimi nipo upande wako hongera sana tatizo letu ni wakata tamaa mapema sana.1.) Hivi ni kwanini road license isilipiwe kwenye mafuta?
2.) Je, kutumia sh.50,000/= kulipa TRA kodi Nyumba ya sh.10,000/= ni akili au matope?
3.) Hivi ni kwanini nguzo za zege hazitumiki kama nguzo za umeme?
4.) Napendekeza taa za mwanga barabarani na nyaya za simu zifungwe kwenye nguzo za umeme
5.) Tanzania kuokoa shs. trillion moja kwa kuanzisha TRA EFD app
6.) Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja
Kama tulivyojikomboa hapa 👆🏽
Na bado tunaendelea hapa 👇🏼
1.) Napendekeza bidhaa zipigwe kodi mara moja tu, njia ni hii
2.) Napendekeza namba moja ya wakala kwa mitandao yote ya simu
3.) Napendekeza king’amuzi kimoja kwa kampuni zote za ving’amuzi
Usijali kuungwa mkono humu simamia mawazo yako mimi Bima siielewagi kabsaa natamani niwe na kesh yangu tu mtu unatatizo uanze tena kufatilia haki yako?