adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Toka 2023..wahusika hawashiki simu plus wako na majibu makali sana.Umewahi kudhulumiwa Mkuu?
Mtu anaweza kukulia timing hata miaka 3 aje kukulipua
Hizi nafasi huwaga chache sana, ukifanikiwa kuipata na ukaweza kujituliza unaweza ionja pepo ukiwa hapahapa Duniani πKujiamini tu, halafu umbahatishe awe kwenye siku za ovulation, na akiwa hajaguswa siku kadhaa utashangaa mwenyewe, unapiga mali kali safi na iliyokuzidi kila kitu,
Braza acha kabisa,nilipata ujasiri nikatulia kwa sekunde kadhaa kwa ujasiri nikamwambia niue tu kwanza nimechoka kuishi isitoshe Sina mtoto nitakayemuacha hasara kwa mama yangu!Pole sana, ulimshawishi kwa namna ipi ili asikuue?
Ukiwa na hasira na una silaha karibu, ukishindwa kujizuia ni suala la dakika chache kuua
Kuna sehemu nilienda, nikakuta Dada mmoja anapiga nyanga kummaliza business partner wakeToka 2023..wahusika hawashiki simu plus wako na majibu makali sana.
Bahati nzuri umri wao unasogea tofauti na wa kwangu.
Plan nilizo nazo wameanza kuziona mmoja kati yao ameshtuka.It's to late..
Braza acha tu,soma comment no 123 Ile kitu Ione hivi hivi inatisha sana aisee!What happened after kuwekewa jogoo
pole sanaBraza acha kabisa,nilipata ujasiri nikatulia kwa sekunde kadhaa kwa ujasiri nikamwambia niue tu kwanza nimechoka kuishi isitoshe Sina mtoto nitakayemuacha hasara kwa mama yangu!
Akatuliaaaa baadae akaniambia shuka!
Nikafungua mlango nikashuka nikaingia ndani!
Vile nilivyoingia ndani ndo hofu ikanijaa,nikaanza kutetemeka hata ndani sikulala nikaenda kulala kwa rafiki yangu wa kike!!
Ulijitoa ufahamu kabisaaaa,, angekuua mwanetuBraza acha kabisa,nilipata ujasiri nikatulia kwa sekunde kadhaa kwa ujasiri nikamwambia niue tu kwanza nimechoka kuishi isitoshe Sina mtoto nitakayemuacha hasara kwa mama yangu!
Akatuliaaaa baadae akaniambia shuka!
Nikafungua mlango nikashuka nikaingia ndani!
Vile nilivyoingia ndani ndo hofu ikanijaa,nikaanza kutetemeka hata ndani sikulala nikaenda kulala kwa rafiki yangu wa kike!!
π€£π€£π€£π€£πππalikuwa na genye huyo halafu domo zege
Adui unaemmudu usimuachie munguTukio la dhuluma katika biashara
Mwaka 47 niliingia kwenye biashara ya uuzaji wa vipodozi kwaajili ya Wanawake na Wanaume waliopenda kuongeza mngβao wa ngozi zao. Biashara hii ilikuwa ni ya pamoja(partnership), Mimi na rafiki yangu Nkya (sio jina halisi) ambapo tulikuwa tunachukua mzigo wa vipodozi Congo DR na kuuingiza Nchini ambapo tulikuwa tukiuza kwa jumla. Tukija na mzigo, ilikuwa wale wenye maduka ya vipodozi, walikuwa wanakuja wanachukua kwetu, kwahiyo tulikuwa hatukai na mzigo zaidi ya siku mbili tangu ufike. Kwa kweli, biashara ilitulipa sana miaka ile.
Mathalani, kipodozi unanunua Congo DR, kwa shilingi 5,000 ya Tanzania, lakini ukija kuuza huku Tanzania kwa bei ya jumla, ilikuwa tunauza kwa 25,000 na wao wakija kuuza rejareja, walikuwa wanauza shilingi 35,000 hadi 50,000
Wanawake wanatumia pesa nyingi sana kwenye matunzo ya ngozi pamoja na nywele zao, iwapo utafanikiwa kubuni biashara ambayo wateja wako watakuwa wanawake, nina kuhakikishia huwezi kulala njaa.
Tulijiweka utaratibu kwamba tukiingiza mzigo, baada ya mauzo ilikuwa tunatenga hela ya mtaji pembeni, gharama za usafiri, kupoza maafisa huko njiani kisha tunagawana faida. Na kwenye hiyo faida, tunachukua almost 50% ya faida, kisha 50% nyingine tunaiongeza kwenye mtaji, ili kukuza biashara.
Wakati fulani, biashara ilipokuwa imeshamiri na yenye faida, mbia mwenzangu, akaingia tamaa, akatokomea mitini na mtaji pamoja na faida yote ya biashara.
Nikaanza kumtafuta, bila mafanikio, nakwenda nyumbani kwake kila siku naambiwa hayupo, baadaye wakahama mtaa kabisa, hivyo nikashindwa kujua kwa kumpata kabisa.
Wazo likanijia, kumtafuta maeneo tulipokuwa tunachukulia mzigo, nikawa naenda kumtafuta kimya kimya, hadi nikafanikiwa kukutana naye. Jamaa akanijibu mbovu pale, na kunitishia juu.
Safari ya kulipa kisasiβ¦. Usione kobe ametulia, ujue anatunga sheriaβ¦
Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kusamehe pale wanapodhulumiwa, Kwasisi Wanaume kisasi chetu huwa ni kwenye fedha,Watoto na Mke. Ukituumiza kupitia moja wako katika hayo, ujue ni lazima kisasi kitalipwa. Mimi pia nilichagua kulipa kisasi.
Baada ya ugomvi wetu na Bwana Nkya, nilimwacha akasahau miezi 6 hivi ikapita.
Baadaye nilirudi tena eneo tulipokuwa tunachukulia mzigo, nikakusanya taarifa nilizokuwa nahitaji, hasa kujua mzigo mwingine alikuwa amepanga kuuchukua lini, na angepita barabara ipi kuusafirisha na angetumia gari ya nani kuubeba. Mind you, biashara hii tulifanya bila kuwa na makaratasi (Someni na muelewe hivyo hivyo tu).
Baada ya kujiridhisha kuhusu hayo yote, siku 23 baadaye mzigo wa jamaa ulikamatwa, na ukataifishwa na jamaa alikaa mahabusu zaidi ya miezi 6
Hakuna bidhaa adimu kwa sisi Watanzania kama uaminifu, ni Watanzania wachache sana wanaoweza kufanya biashara ya pamoja bila kudhulumiana.
Mnaweza kufanya biashara za pamoja, lakini wekeni vizuri kwenye maandishi (Mikataba).
Otherwise, unaweza kupoteza jasho lako kwa dhuruma ya mtu uliyeaminiana naye.
Kifupi mchizi alikuwa anakuelewa, ila wewe hukumuelewa kitambo..Mimi sio mwandishi mzuri!!
Matukio nisiyoweza kuyasahau!
1. Tukio la kwanza
Mimi ni wale wadada wenye marafiki wa kiume,yaani ule urafiki wa kushibana kabisa!
Sasa Kuna huyo rafiki yangu tulikua tunaelewana sana sana zaidi ya sana,siku moja Usiku tumeenda zetu kupata kitimoto tulivyomaliza kula Kuna watu wakataka kukutana nae akaniomba twende nitabaki kwenye gari aingie aongee nao wakimaliza atanipitisha nyumbani!! Tukaenda bwana ilikua kama saa 3 usiku hivi,nilikaa kwenye gari mpaka mida ya saa 7 kasoro ndo anarudi!
Hapo nimeshakasirika natamani kupasuka!
Sasa bwana kuna mbongo fleva mmoja nilikutana nae ofisi za uhamiaji,na yeye akawa rafiki yangu tukawa tunataniana sana ila huyu mwingine akawa hataki kabisa niwe na mazoea na huyo mbongo flevaππππ
Sasa hiyo siku mbongo fleva sijui kapatwa na Nini kanipigia hiyo saa 7,huyu akaanza kunigombeza kwanini ananipigia simu,aisee nilimuwakia ukijumlisha na hasira zakunichelewesha,Sasa sijui alipatwa na Nini huko ndani alitoka ana hasira nikamjazia na ya kwangu Hadi akawa anatetemekaπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Sasa akawa kama kapoa hivi tukaondoka pale kwenda kwangu tumefika nje kabla sijashuka akaanza kuniambia mara sijui Mimi ni rafiki yako ila nimetokea kukupendaππππ
Akanipandisha hasira nikamtolea maneno ya shombo kama elfu 3 hivi!
Aisee alikasirika kuliko kawaida(Ile siku nilijua kama binadamu wote ni vichaa) kimasihara masihara akatoa bastola kaniwekea kichwaniπ₯²π₯²π₯²π₯² akaniambia bellaa nakuua,ni Bora nikuue!!hapo kabadilika amekasirika macho mwekunduu!!
Siwezi kusahau hili tukio na kuanzia Ile siku siwezi kuwa karibu na mtu anayemiliki siraha ya moto hata kwa bahati mbaya!
Niko bize kidogo rafiki, si unajua jioni ya ma gen z hiiTusimulie basi,
Hata hivyo nikupongeze mtoa mada kwa uzi na simulizi, muda pia uliotumia kuandika ni moyo wa kipekee sana,
Muda ukipata upako tupia tusomeNiko bize kidogo rafiki, si unajua jioni ya ma gen z hii
Kudhulumiwa au kuibiwaUmewahi kudhulumiwa Mkuu?
Mtu anaweza kukulia timing hata miaka 3 aje kukulipua
Ni suala la muda tu na wewe kua mzee, kama ulikua mtoto ukawa kijana, leo umekua mtumzima kesho na wewe ni mzee.Wazee ni jamii ya hovyo sana , mzee alie baki mwenye akili timamu ni mzee warioba peke yake , nyie wangine ni taka taka kabisa.
Noma na nusu, jomba aka waletea unyama ugeniniKudhulumiwa au kuibiwa
Kunauma aise!
Miaka fulani zamani kdg kuna mbongo mmoja alikuwa anaishi kaburu huyu bana yuko huko kabla hata South hawapata uhuru!
Jamaa alkuwa anaitwa smbdy A.--- alikuwa rafiki wa anko wangu mmjaa
Sasa ktk mazungumzo tukaongega kuhusu madini
Specia pieces akatupa ramani yanayotakiwa huko
Huku ss tukaingia mzigoni
Kuyaanda,nakumbuka zilikuwa emeralds, tanzanite,sapphire
Ktk mazungmzo jamaa akanambia mpaka namna ya kuzipigiliaa ili nivuke nazo boda na kuingia nazo
Tukasafiri tukaingia nazo
Huko safi kabisa,jamaa tukaonana naye,ss wkt tuko pale mjengoni tulizipigilia mahali na jamaa alikiwa anajuwa siku tumekaa tunashangaa ugeni huoo
Ndani π π wanauliza mzg uko wapi yule mwenzangu akakomaa akachezeaa keleb,mm hapo mpole maana kuna mmja alikiwa na chuma wengine na visu π
Mara tukaona jamaa wanaingia jikoni kwenye kidocho tuliweka jamaa wakautoa kifuko kdg wakatambaaaa.
Yule mgeni wetu alituuzaaa π wakatukwaluaa mpk mapene yetu yaani walituachaa zerooo π
Ndy ikabid njiongeze ntamfute brother mmj huko anaitwa machupa rafik za maanko....naye wale wale wajanjajanja kumuelezea akasema dah yule A --- Hafai namba yule yaani kawararrua mpk ndg/wdg zake anyway nyie mnatakaje
Ndy kutupa nauli na kukaa kwake siku kadhaa na kurudi
Ile kukaa tu kwa machup siku 7 tuliona kama mwaka maana naye kwake visanga,ambush haziishi π
Ila that's life tunajinza kupitia makosa na tunapopotia
Ova
Pole achana na tabia ya kujenga urafiki na mibaba inastres ya wizarniBraza acha tu,soma comment no 123 Ile kitu Ione hivi hivi inatisha sana aisee!
Itabadilisha kitu gani kwenye nilichokisema?Ni suala la muda tu na wewe kua mzee, kama ulikua mtoto ukawa kijana, leo umekua mtumzima kesho na wewe ni mzee.
Halafu hata sio mbaba ni kijana kabisa!Pole achana na tabia ya kujenga urafiki na mibaba inastres ya wizarni
After apo ulimchukulia hatua gani sasaHalafu hata sio mbaba ni kijana kabisa!