Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

ngozi nyeusi ni nyoooookooo
 
Floyd ana akili sana ya pesa ndio maana kila kukicha utajiri wake unazidi kuimarika.

Floyd ndiye mwanamichezo mwenye pesa nyingi zaidi kwa muda wote amemuacha mpaka Michael Jordan na hao akina Christian Ronaldo na Messi.
Acha uongo Michael Jordan ana utajiri wa zaidi ya dola bilion 2 wakati mayweather ana dola bilion 1
 
Upo Dunia ya wapi wewe?

Messi hawezi hata robo kuukaribia utajiri wa Floyd.

Aanze kwanza na Michael Jordan ndipo afikirie kuhusu Floyd
Acha uongo hakuna mwanamichezo yoyote duniani anayefikia utajiri wa Michael Jordan ana utajiri wa zaidi ya dola bilion 2. Hao kina messi na cr7 hata dola bilion 1 hawajafikisha.. mayweather hamfkii Michael Jordan sijui hizo takwimu za kubumba unatoa wap?
 
Kwa kipigo anachopata akiwa ulingoni , muacheni atumbue hela zake maana muda si mrefu anaweza kuwa taahira kutokana na ngumi wanazopigwa kichwani!!!
Unajua kwa nini alipewa nickname ya Pretty boy?

Kama hujui anzia hapo kwanza ,nenda ka google vizuri kisha rudi tuendelee na mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…