Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

Daaah kufuru ya maana hii.
Fuatilia kipindi kile ana bifu na 50 Cent .
Utajiri wote wa 50 Cent ulikuwa Bilioni 18 ,Floyd ana miliki saa ya bilioni 20 kwa hiyo akamwambia usibishane na mimi anza kwanza kubishana na saa yangu 😂😂😂😂😂


Pia ikumbukwe 50 Cent alikuwa mpambe wa Floyd enzi hizo kama ilivyokuwa kwa Justin Bieber
 
Tufanyeje sasa mkuu?
 
Kwa waarabu utakuwa hujafanya tafiti vizuri labda uwatoe waarabu waweke wachina
 
Akifika bongo fanya bidii umuombe mkopo, upunguze umasikini
 
Ulimbukeni wa pesa wanakuwaga nao waafrika nadra sana kukuta mzungu, Mchina,mhindi mwenye pesa chafu akafanya kufuru.Thus pesa zao urithiwa vizazi kwa vizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…